Kaenda wapi tena..?
IPPMEDIA kutakuwa na matatizo madogo madogo..mie sioni tatizo hata kama wakiondoka wote.
Vijana wapewe nafasi tu!
Wasemaji wa WENGI mko MENGI, ETI SIONI TATIZO HATA WAKIONDOKA WOTE, unazijua costs za labour turnover wewe?? niliwahi kusikia kuna mtu humu ndani amesomeshwa na mengi na YUKO TAYARI KUFA NAYE
MIMI HUWA NAJIULIZA SWALI. kwanini akisemwa Mengi badala ya kujadili hoja mnaanza kumuingiza ROSTAM? nadha mengi huo alipo hata akipata KWIKWI anasema RA huyo jamani HATA KWA MATATIZO YETU WENYEWE tunawasingizia wao....
TATIZO LA WAFANYAKAZI IPP limeanza hata kabla ya EPA, najua mtabisha lakini habari ndio hiyo
Tatizo la kuacha kazi kwa wafanyakazi wa IPP media halikuanza kwa Sakina, ni wafanyakazi wengi sana wameondoka tena kwa kunyimwa haki zao. Nadhani mnafahamu Julius Nyaisangah kwa sasa hayupo tena redio one, je nini sababu ya kuondoka kwake? au nae mtasema mjomba wake manji?
Mengi anatakiwa abadilike na kujenga maslahi bora kwa wafanyakazi wake na si kujionyesha mwema machoni kwa watu.
Binafsi hili la Sakina Datoo linanikwaza kidogo.Sakini ni baba mmoja mama mmoja na Kassim Dewji wa Simba Sports Club.Kassim Dewji Na Mohamed Dewji a.k.a Mo wa Mohamed Enterprise ni mtoto wa shangazi na mjomba(1st cousins). Mo ana uswahiba wa karibu na vibopa wenzake ambao kidini ni wa Ithnashari kama yeye ambao baadhi mzee mzima Mengi aliwataja hadharani akiwaita mapapa.Can you see the connection? In other words hawa binamu zake Sakina watamwacha kweli atumikie 'kaffir'?
matatizo ni makubwa, sasa hivi ipp media hata mishahara ya wafanyakazi ni shida, haitoki kwa wakati. Inasemekana waandishi ndiyo wanaolipwa tarehe 25 lakini wafanyakazi wengine tarehe kamili haijulikani. Wakati mwingine wanapewa kidogo kidogo.
Wana jf tusaidieni ushauri imekuwa ni tabia hapa kwetu ipp,mishahara kuanza kutolewa kuanzia tarehe 5 mpaka 10 ya mwezi unaofata,that means baada ya siku 35 mpaka 40.
Cha kushangaza wahindi wetu wao wanajilipa tarehe 25th ya mwezi,lakini pia kumeibuka mtindo wakupeana kupitia dirishani kwenye tarehe 1 au 2 ya mwezi uanweza kupewa asilimia 20 au 30 ya mshahara wako wakati ukisubiri balance ingine (yaani baada ya siku 32 uanapata asilimia niliotaja)
jamani kulikoni huu sio unyonyaji?
Wana jf tusaidieni ushauri imekuwa ni tabia hapa kwetu ipp,mishahara kuanza kutolewa kuanzia tarehe 5 mpaka 10 ya mwezi unaofata, that means baada ya siku 35 mpaka 40.
Cha kushangaza wahindi wetu wao wanajilipa tarehe 25th ya mwezi,lakini pia kumeibuka mtindo wakupeana kupitia dirishani kwenye tarehe 1 au 2 ya mwezi uanweza kupewa asilimia 20 au 30 ya mshahara wako wakati ukisubiri balance ingine (yaani baada ya siku 32 uanapata asilimia niliotaja)
jamani kulikoni huu sio unyonyaji?
Kaenda wapi tena..?
IPPMEDIA kutakuwa na matatizo madogo madogo..mie sioni tatizo hata kama wakiondoka wote.
Vijana wapewe nafasi tu!
hatutegemei GEMBE akaongea kauli tofauti na hii!
Ku-resign kwa waandishi hao wawili na mwingine anayeitwa Joyce Kisaka kulitarajiwa baada ya dada yao SAKINA kupigwa chini kutokana na fitna alizoanza kuziingiza IPP Media. Hawa wote walishikwa mkono na Sakina kupelekwa The Guardian wakitokea Mwananchi kwa ahadi ya mishahara minono. Nadhani ni kutokana na ushawishi wa Sakina huyo huyo ndio maana wame-resign. Bila shaka kuna kitu wanataka kufanya kwani katika siku za hivi karibuni wamekuwa karibu sana na RA na wapambe wake akina Zitto Kabwe na Omari.
Huyo Sakina Dewji 'Datoo' aliichanganya The Guardian kwa fitna kama kaka yake Kassim Dewji alivyoichanganya Simba SC wakati fulani. Ni watu hatari sana na bila shaka fitna ipo kwenye damu.
Matatizo ni makubwa, sasa hivi IPP Media hata mishahara ya wafanyakazi ni shida, haitoki kwa wakati. Inasemekana waandishi ndiyo wanaolipwa tarehe 25 lakini wafanyakazi wengine tarehe kamili haijulikani. Wakati mwingine wanapewa kidogo kidogo.
Mkuu unatakiwa kujua kuwa Mengi amechokoza nyuki anamalizwa taratibu taratibu. Hataambiwa afungashe virago, yeye mwenyewe atavifunga na kuondoka kwenye biashara. Akitaka ajitahisi kuingia kwenye Siasa as soon as possible ili naye awe mmoja wao, hawezi kuwa mmoja wao from the sidelines.