Je kufeli shule ndio kua na upeo mdogo wa kufikiria?

princekerry

Member
Feb 9, 2011
16
0
Tunamefurahi kupata wabunge vijana, na haya yalikua maandalizi sio bahati nasibu, lakini tuna sikitika kuona kwamba wabunge hawa vijana hawana uwezo wakuchanganua mambo.kufikiria, na hawana msimamo,mheshimiwa david kafulila nahisi analewa uongozi na anatamaana umaarufu mkubwa zaidi,huyu nimiongoni mwa mipango ya chadema kuandaa vijana wake wakazi ndio maana tulimlipia ada japokua alituangusha kwakudisco mwaka wapili,alijisaha namasomo akatamani madaraka kwa nguvu na hicho ndicho kilicho mwondoa chadema kwenda nccr, kapata uongozi lakini bado hajitambui, nawasiwasi asije akafeli nahuko bungeni.
 
"Kipimo cha akili ni mtihani"
sio kipimo kizuri lakini ndio kipimo pekee tulichonacho kwa sasa.
 
Back
Top Bottom