ben genious
Senior Member
- Jun 4, 2011
- 176
- 23
Imekuwa ni kawaida kwa vijana wa CDM wanapondama kulamika udhalimu wa matatizo mbalimbali unaosababiswa na serikali kuonekana wanaleta vurugu,na wa kwanza kulalamika katika hili ni wazee eti vijana wnataka kusababisha uvunjifu wa amani, wahuni na wavuta bangi wa vjiweni,je kitendo cha wao kutaka kuzuia msafara wa rais si sawa na vurugu tena uvunjifu wa amani?