Elections 2010 Je, kipimo hiki cha maendeleo kwa CCM si sahihi?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
Millennium Development Goals (MDGs)/ Malengo ya Millenia yaliwekwa mwaka 2000 kwamba kufikia 2015 matatizo kama umaskini yawe nusu yake. Lakini kufikia 2010 hata nusu ya lengo halijafikiwa, je, huku si kushindwa kwa CCM kufikia malengo hayo? Je, mpaka 2015 wataweza kufikia nusu hiyo iliyowekwa? Je, wamepania kuvuka hata hilo lengo la kupunguza, mfano, umaskini kwa nusu? Je, ugawaji wa fulana na khanga ndio upunguzaji wenyewe wa umaskini?
 
hakuna jipya hapo.
 
Back
Top Bottom