Je kikwete na serikali yake wanendelea kuvunja katiba na muungano?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Mwaka 1964 tanganyika na z'bar ziliungana na kwa maana nyingine ni kwamba ule mpaka uliokuwa unatenganisha hizi nchi mbili uliondolewa na kuzaa Tanzania. Sasa swali ni je?
1. Hawa mabwana wanapohubiri kuwa tarehe 09.12.2011 ni siku ya uhuru wa tanzania bara si wanakuwa wameurudisha huo mpaka? na kwa ruhusa ya nani?
2. Serikali inaposema eti uhuru wa nchi ya TZ bara inatumia katiba ipi inayotambua tz bara kama nchi?
3. Na je kama ule mpaka sasa umerudishwa kuna haja gani ya kuendelea kuhubiri muungano?
4. Je hayo ndo kikwete aliapa kuyasimamia?
NAOMBA KUWASILISHA.
 
Back
Top Bottom