Je Karume DAY ina UDINI?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
kwa kuwa kuna nyerere day?

kwani nani aliyetangulia kufa kati ya nyrere na karume?

kwani mwanzo hawakuona kama kuna umuhimu wa kuwa na karume day?

kama nyerere hangekufa kungekuwa na karuma day?

walioshikikiza huko kumechisha wamepata faida gani?
 
Jerusalemu acha udini udini ndugu yangu!

udini mana yake nini? unaona kuna udini hapo?

huoni kaama ni sasa tunaish kwenye jamii ambamo watu wanadhani kukiwa na kiongozi fulani Ikulu basi ni nafasi yao kudeka? tutafika? mbona hawakuomba karume day kipindi cha mzee mkapa? kipindi cha mwinyi si nyeyrere alikuwa hai? kwanini hawakusema kuwe na nyerere day? hawa watu ni wa ajabu sana. sasa hivi hawafanyo kazi, wanafanya makomnganamano tu kuhubiri chadema, kanisa na vurugu za nchi. kisa wamenyimwa oic na kadhi na jua linawachwea.

kasomeni acheni majungu.
 
Huyu Jerusalem anatafuta BAN!

uchurooooooooooooo

ushindwe!

nimekosa nini?

nyie ndo mnaendekeza kufumbia macho vitu vinavyoleta chokochoko. mtu akisema laivu munamkandia. mnataka akatoe maioni yake kwenye vikao vya chama. akitoa maoni kwenye vikao vyam chama, mnamsuta. mnamtishia kum-ban. nini sasa?
 
kawahi haraka sana kikombe kwa Babu maana yake umesha changanyikiwa. Pole sana Jerusalem kwa kumpenda sana saint Nyerere.

Kumbuka avumae baharini ni Papa lakini wengine wapo pia kama Karume
 
kawahi haraka sana kikombe kwa Babu maana yake umesha changanyikiwa. Pole sana Jerusalem kwa kumpenda sana saint Nyerere.

Kumbuka avumae baharini ni Papa lakini wengine wapo pia kama Karume

mnadeka sana nyie.

kwa nini hamkuomba kwa mkapa kuwe na karume day?
 
JK at work.
Hii ndio tulipanda during compaing 2010 sasa haya ndio mavuno yake.
 
Mbona huulizi NYERERE alikua rais wa tanzania si padri wala askofu lakini sasa kuna utaratibu unaandaliwa uganda apewe UTAKATIFU yani SAINT JULIUS K NYERERE!na tanzania haina dini!TAFAKARI UTAJUA NCHI HII INAENDESHWA NA KANISA!
 
Mkuu Jerusalem,kanini usione kama ni heshima tu wamepewa viongozi hao,maana Nyerere ni muhasisi kwahu bara na Karume ni kwa Visiwani.....
 
Mbona huulizi NYERERE alikua rais wa tanzania si padri wala askofu lakini sasa kuna utaratibu unaandaliwa uganda apewe UTAKATIFU yani SAINT JULIUS K NYERERE!na tanzania haina dini!TAFAKARI UTAJUA NCHI HII INAENDESHWA NA KANISA!

Kenya kuna ukabila; Tanzania kuna udini.

sikiliza redio kheri ndiyi utajua ninachomaanisha.

redio imejaa full chokochoko.

bada ya kupigwa marufuku kufanya mihadhara uswahilini, sasa inafanyika redioni.

kama hujui basi.
 
Mkuu Jerusalem,kanini usione kama ni heshima tu wamepewa viongozi hao,maana Nyerere ni muhasisi kwahu bara na Karume ni kwa Visiwani.....

yote hayo nayajua. ishu ni kuwa kwa nini siku zoote hixo hakukuwa na karume day mpaka kikwete alipokuwa rais ndiyo imeanzishwa. hawajadeka hawa? kumechisha mpaka sikukuu za maombolezo? si kudeka huku? akimaliza kipindi chake cha urais watamdekea nani? ina maana mwinyi, nyerere na mkapa hawakuona umuhimu wa karume day?

wana matatizo hawa ndugu zetu. tuwasaidie
 
WanaJv

Kusema kweli mimi sijapendezwa na siku ya jana KARUME DAY(KAMA NIMEKOSEA NIKOSELEWE) Hii Siku ilikuwa ya kitaifa lakini inasherekewa kidini

Kwanini serikali haikwenda kusherekea hii sikukuu kama serikali yenyewe?

Kwanini wanaazimisha kidini?:redfaces::redfaces::redfaces:

8D6U0132.JPG



1.jpg
 
ningependa kujua na Nyerere day inapaswa kuadhimishwaje.
La, zifutwe.
 
Sitaki kuyatafasiri mavazi yaliyovaliwa na jamaa pichani, ila, kumbukizi hii ingefanywa kuwa ya kitaifa zaidi na wala si kidini, huyu ni 'baba mdogo' wa taifa na tunajua alikuwa na dini yake, Nyere pia alikuwa ni muumini wa dini yake je, na baba mwenyewe wa taifa tumkumbuke kwa kwenda makanisani.
 
mimi ni mkristo! lakini sioni tatizo hapo! kwani hakukuwa na shughuli nyingine ya hii siku mbali na hiyo ibada ya kaburini? kama vile public lecture, kuweka mashada ya maua kaburini kwake nk? walihitaji kumsomea dua, wsomeje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom