Je karsperk ant virus inafaa?

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana JF napenda kuwajulisha kuwa mimi nimeinstall At virus ya Karsperk je inafaa kwa matumizi kwani nimeona wadau wameiponda Norton kwani mimi nilikuwa naiamini sana norton sasa nimechanganyikiwa kwani hii karsperki sikuitaka nilikosa norton sasa wadau wamesema kumbe nilikuwa ninapotea sasa je hii karsperki niitoe au niiache ndo kwanza nina siku tano nayo.
 
Huna haja ya kubadilisha Kaspersky. Ukipata matatizo yoyote uje uwaulize wadau hapa wakusaidie.

Kumbuka tu kwamba, kuwa na Antivirus kwenye computer yako haina maana kwamba virus hawawezi kabisa kuingia.
Ni vyema kuwa na mazoea ya ku-scan flash kila mara kabla ya kutumia iwapo uliitumia hiyo flash kwenye computer tofauti (ya kazini/shule/rafiki).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom