Je kampeni zimeanza?

The third

Member
Nov 21, 2011
45
1
jamani kila kukicha katika vyombo vya habari habari inayo tawala
ni kuhusu uraisi mwaka 2015 ukienda ccm chadema nk vyama vina
shindwa kuongelea maendeleo ya wananchi wana baki kuongelea urais urais,
je ni haki katika kipindi hiki.
 
hiyo cdm umeiunganisha tu ili kuonyesha jinsi unavyopenda watu waione cdm kama hicho chama chako,lakini iko wazi hicho kitu kiko kwenu magamba huku cdm labda kama umekileta wewe leo .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom