Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa


Kabisa kaka, nishaona dalili za wewe kupewa uraia huko...
jilipue tu! he he..he.

kaka
hii inaitwa never say never
niliambiwa usiioe mmachame,
but nikimuona lizzy.roho inanipasuka lol
na sasa anasema nna akili lol
nanasa taratibu lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...na mahodari wa kulima vile vile, lol!The Boss si unamuona mikono yake ilivyokomaa?Akimshika mlimbwende shavuni si ajabu akaacha majeraha utadhani kapitishiwa steel wire!Naskia raha ya mke wa Kinyamwezi hamfi njaa,...yaani hata kama mnaishi Police Quarters atalima kabustani! lol...
Mbu hiyo ya mikono sio ishu...miezi mitatu tu itabaki kua historia maana hatolima tena atakua anasimamia vibarua wakilima!!Kwa y
 
kaka
hii inaitwa never say never
niliambiwa usiioe mmachame,
but nikimuona lizzy.roho inanipasuka lol
na sasa anasema nna akili lol
nanasa taratibu lol

dah, nahisi ndio tushakupoteza hivyo...kila la heri kaka!
'Sikio la kufa!'

Mbu hiyo ya mikono sio ishu...miezi mitatu tu itabaki kua historia maana hatolima tena atakua anasimamia vibarua wakilima!!Kwa y

mnh, acha tu nijikalie kimya tu, nisijeitwa mbishi na mjuaji mie...lol!
The Boss, ....unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hapa, unachukuliwa msukule ndugu yangu!
 
dah, nahisi ndio tushakupoteza hivyo...kila la heri kaka!
'Sikio la kufa!'





mnh, acha tu nijikalie kimya tu, nisijeitwa mbishi na mjuaji mie...lol!
The Boss, ....unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hapa, unachukuliwa msukule ndugu yangu!

mkuu wanasema mzigo mzito tupewe sisi wanyamwezi tunauweza
sasa huyu lizzy nitamuweza tu.
wanyamwezi hatushindwi kitu lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Mwj1 hakuna kabila baya wala lenye unafuu bana, wewe taja tu...lol!
au nawe mmanyema kama mimi, maana nakuona tu ujuaji wako...he he he!

Lol umenishtukia Mbu.unaona ? ndo mana nakukimbia maana tukikutana na tulivyo wabishi..................ah hapatakalika!
 
dah, nahisi ndio tushakupoteza hivyo...kila la heri kaka!'Sikio la kufa!'mnh, acha tu nijikalie kimya tu, nisijeitwa mbishi na mjuaji mie...lol!The Boss, ....unapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hapa, unachukuliwa msukule ndugu yangu!
Mbu sifa yako nyingine ni “kuharibu“...why can‘t you let my Mnyamwezi smile just for one day?!Kwani mafuta yanayopakwa kwa mgongo wa chupa huwa hayakolei?!Hayaondoi mpauko!?Badilika bana....lolz!
 
mkuu wa machame wanasifika kwa kujali mali tu,no lovewahaya kwa umalayawazaramo wana culture ya mafiga matatu,bwana mmoja sokoni.mwingine buchani na mume nyumbani
Yan hapo kwa wamachame ni kweli tupu.hawana mapenzi ya kweli wanachojali wao ni pesa tu
 
Back
Top Bottom