Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,476
Kwa kawaida kila anayetunukiwa shahada ya uzamivu anavaa kofia ya duara. Lakini MUHAS tar 11/12/2010 walimvisha mhe Jakaya Mrisho Kikwete kofia ya mraba.
Kwangu nikiwa msomi wa shahada ya uzamili ni kukdhalilisha rais wa jamuhuri. Wadau wa JF mnalionaje hili.
Tuchangie hoja bila jazba wa vijiba ya roho. Tafadhali tusizungumzie inakuwaje awe na PhD za heshima tano (tatu za nje na mbili za ndani), tuijaribu kujikita ktkt HOJA ya kofia wakati wa kutunukiwa.
Wasalaam
BAZAZi