Je jk atatufikisha 2015?

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Nina mashaka sana endapo JK atatufikisha 2015,changamoto za serikali na chama zinazomkabili na swala la wananchi kukosa imani naye baadhi ya mambo ambayo ni changamoto kubwa kwake,serikali kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara,migomo,miradi ya serikali kama barabara na huduma za jamii kuzorota,je tutafika?
Je ni kweli kuwa TRA hawakusanyi mapato? Au serikali yetu imekuwa ya kufanya shopping zaidi?
Nawasilisha
 
kuwa mvumilivu kijana
jk ataweka mambo sawa na ww utafurahi
subiri tumalize sherehe za UHURU
 
Hata kama tutafika lakini cha moto tutakuwa tumekiona.Huyo ni dreva asiyo na huruma hata kidogo kwa abiria wake.Tung'oeni huyu TUMBUSI aruke zake.
 
Hata kama tutafika lakini cha moto tutakuwa tumekiona.Huyo ni dreva asiyo na huruma hata kidogo kwa abiria wake.Tung'oeni huyu TUMBUSI aruke zake.
 
Kufika tutafika, ila suala hapa ni kwamba, tutafikaje hiyo 2015?
 
2015?mmh
kama wafanyakaz wanakopwa na wabunge wana'enjoy
nadhan kutakua na misukosuko mingi TU!
 
kuwa mvumilivu kijana
jk ataweka mambo sawa na ww utafurahi
subiri tumalize sherehe za UHURU

i see no connection between putting things the right way and the uhuru thing? please give me a break,,,JK is a failure and disgrace to this country ..Period....
 
i see no connection between putting things the right way and the uhuru thing? please give me a break,,,JK is a failure and disgrace to this country ..Period....

Ahahhaa
Huyu anazungumzia kukopwa kwa mishahara ya wafanyakazi tu, kwa hiyo tusubiri mchanganuo wa matumizi kwa hizi sherehe zao, zitakazobaki masikini wafanyakazi watalipwa Jan 28, 2012.
Kweli tumethubutu tumewezwa na tunasonga kushoto!

Ila kufikia 2015 lazima tuwe tumechoka!
 
Back
Top Bottom