Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

KAITABA, ni uwanja wa mpira upo mkoani Kagera, mama yangu mzazi alikuwa bosi enzi hizo, akiwa anakagua gwaride uwanjani hapo akashikwa na uchungu,

Alipopelekwa chumba cha faragha uwanjani hapo nikazaliwa mimi,

Nice Indeed
 
Kwa hilo linahitaji ubunifu mkubwa. Kil bark. Kil ni Kilimanjaro ambapo ni asili yangu na bark ni sauti ya mbwa anayebweka kufukuza wezi. Sitaki kuwa mkabila isipokuwa naipenda asili yangu na watu wangu kwani sio waoga. Waulize CCM kuhusu mkoa wa Kilimanjaro.

Mkuu Kilbark, siku zote naomba Watanzania katika mikoa mingine waige mfano wa wenyeji wa Kilimanjaro na kukibwaga chini chama cha mafisadi ambacho kimekuwa ni chanzo kikubwa cha matatizo mengi ya nchi yetu. Naona wenyeji wa Mbeya labda muda si mrefu nao watawaiga wenzao wa Kilimanjaro katika kuibwaga CCM.
 
Kinyamana,hili ni jina lililotokana na lugha ya kinyakyusa likiwa na maana ya Mnayama/Mdudu hatari. Mara nyingi huwa inatumika kama sifa kwa mtu jasiri.Na huo ndiyo ujasiri nilionao.
 
Nyika na vome kwa maana sisisi nyika(pori) na wanaume. Maana halisi ni kuwa sehemu inyohitaji mapambano inahitaji watu jasiri sana ili waweze kuivusha jamii nyikani kwenye hatari nyingi.
 
Na mama yao naye ni Jay!Subiri kidogo utakutana na JJ Technologies panapo majaaliwa.

Kila la heri ndugu yangu ila naomba tu utufahamishe JJ Technologies itakapokuwa tayari. maana tunaweza kabisa kuwa wateja au suppliers ;) wako
 
Mwawado: Ni Upondo,Mti mgumu na una umbo la Fimbo,unatumika na Wavuvi kuweka nyavu vizuri (kutanua matundu ya nyavu za uvuvi) na mara nyingine hutumiwa kama silaha katika majazi.Jina Mwawado asili yake ni kabila la Digo.Miti hiyo mfano ya mianzi huota pembezoni mwa bahari ya Hindi, ukanda wa Pwani kutoka Mwambani mpaka Pangani.Mwawado pia ni jina maarufu la Ukoo huko Tanga.
 
Mwawado,
Kwa maelezo hayo kama nimekufahamu vile!
 
Ziondaughter au Binti Sayuni

Sayuni mji mtakatifu wa Mungu ulioteuliwa kwa ajili ya wateule.Waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache.

garimoshi lenyewe la kwendea kwenye huo mji ndiyo mimi, mji mtakatifu kwa walioteuliwa.

Zion train is coming our way;
The Zion train is coming our way;
Oh, people, get on board! (you better get on board!)
Thank the Lord (praise Fari) -
I gotta catch a train, 'cause there is no other station;
Then you going in the same direction (ooh-ooh).

Zion's train is coming our way;
The Zion's train is coming our way.

Which man can save his brother's soul? (save your brother's soul)
Oh man, it's just self control. (oo-hoo-oo!)
came in the world and lose your soul (just don't lose your soul)
you see Wise man is better than silver and gold -
To the bridge (ooh-ooh!)

Oh, where there's a will,
There's always a way.
Where there's a will,
There's always a way (way, way, way, way),

Soul train is coming our way; er!
Soul train is coming our way.

Two thousand years of history (history)
Could not be wiped away so easily.
Two thousand years of history (Black history)
Could not be wiped so easily (could not be wiped so easily).

Oh, children, Zion train is comin' our way; get on board now!
They said the Zion train is comin' our way;
you got a ticket, so thank the Lord!
Zion's train is - Zion's train is - Zion's train is - Zion's train -
They said the soul train is coming our way;
They said the soul train is coming our way. /fadeout/
 
MSANII
we kama unataka niiboreshe pua yako just send me your photo halafu hakuna kurusha ngumi. tupo sawa?

Mie mzee wa kupaka rangi picha za kwenye rangi
 
PAESULTA,nilijijipa hili nikiwa shule ya msingi darasaa la sita mwaka 1993,sababu nilimpenda sana msichana mmoja hivi(amini usiamini mpaka leo hajanitoka moyoni ingawa hatukuwahi kuwa na uhusiano wowote wa kimapenzi kwani sijamuona tena baada ya kumaliza shule ya msingi zaidi ya mawasiliano ya barua kwa muda fulani tulipokwenda sekondari) ,anywa as i was saying nilijipa jina hili baada kuweza kuunganisha herufi ya majina yetu mawili na likatokea jina hili ambalo linatakiwa kurepresent mapenzi yangu kwa msichana yule kwa jinsi yalivyo.sidhani kama nitakuja kumsahau,aliniingia sana moyoni...
 
Usikate tamaa ndugu yangu. Na siku hizi kutokana na mtandao unaweza kumpata kirahisi kabisa ili umwage sera zako kama bado yuko available na wewe pia uko available basi mambo yanaweza kabisa kujipa na ndoto yako ikatimia.
 
garimoshi lenyewe la kwendea kwenye huo mji ndiyo mimi, mji mtakatifu kwa walioteuliwa.

Zion train is coming our way;
The Zion train is coming our way;
Oh, people, get on board! (you better get on board!)
Thank the Lord (praise Fari) -
I gotta catch a train, 'cause there is no other station;
Then you going in the same direction (ooh-ooh).

Zion's train is coming our way;
The Zion's train is coming our way.

Which man can save his brother's soul? (save your brother's soul)
Oh man, it's just self control. (oo-hoo-oo!)
came in the world and lose your soul (just don't lose your soul)
you see Wise man is better than silver and gold -
To the bridge (ooh-ooh!)

Oh, where there's a will,
There's always a way.
Where there's a will,
There's always a way (way, way, way, way),

Soul train is coming our way; er!
Soul train is coming our way.

Two thousand years of history (history)
Could not be wiped away so easily.
Two thousand years of history (Black history)
Could not be wiped so easily (could not be wiped so easily).

Oh, children, Zion train is comin' our way; get on board now!
They said the Zion train is comin' our way;
you got a ticket, so thank the Lord!
Zion's train is - Zion's train is - Zion's train is - Zion's train -
They said the soul train is coming our way;
They said the soul train is coming our way. /fadeout/

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=A7sBuvjnvHI&feature=fvw[/ame]
 
Usikate tamaa ndugu yangu. Na siku hizi kutokana na mtandao unaweza kumpata kirahisi kabisa ili umwage sera zako kama bado yuko available na wewe pia uko available basi mambo yanaweza kabisa kujipa na ndoto yako ikatimia.

BAK,nikiweza kumpata itakuwa vyema,miaka mingi imepita sitegemei chochote kutokea, kikubwa ni kuwa natumia jina hili kama kuheshimu mapenzi niliyokuwa nayo kwa huyu binti....
 
BAK,nikiweza kumpata itakuwa vyema,miaka mingi imepita sitegemei chochote kutokea, kikubwa ni kuwa natumia jina hili kama kuheshimu mapenzi niliyokuwa nayo kwa huyu binti....

Unaweza kumpata kama kweli ulimpenda usikate tamaa, kumbuka milima haikutani lakini binadamu twakutana.
Huwezi amini mie mtu ambaye tulipotezana miaka 13 iliyopita , tumekutana kumbe na yeye hivyo hivyo kama wewe ulivyosema alikuwa ananipenda lakini hakunitamkia chochote. Kumbe alikuwa ananifatilia information zangu kinyemela.
 
Mkuu Paesulta, unasikia mambo hayo! Njemba haikukata tamaa na miaka 13 baadaye ndoto yake ikatimia akabahatika kupata kipenzi cha moyo wake baada ya miaka yote hiyo.

Hivyo Mkuu nawe inawezekana kabisa ukawa bado hujachelewa labda mrembo bado yuko available chakarika uanze kumsaka yuko kipande gani hapa duniani ili umwage sera zako.
 
Shapu Shapu hapa namaanisha haraka/upesi.
Ninapenda sana maamuzi kufanyika haraka (tuwe na sence of urgency).
Huwa mambo yangu siyaachi kwenye in-trays i just get them out immediately.
Also in crisis management and communication nina phyilosopy ya:
1- Talk first
2-Talk fast
3-Talk the truth

Position niliyonayo nimeifikia kutokana na kuwa na hizo quality. Napenda vitu vienda haraka... siyo kama serikali yetu ambayo imechukua more than 10 months kuja na decision ya kuwasha IPTL.

Definately i also think very fast.
 
OK OK tunasubiri zingine kama kina mwanamalundi na mengineyo

Miye nasubiri jamaa mmoja anajiita Tolu, nadhani hii ni Tall lakini sina uhakika na wengineo pia ambao bado hawajajitokeza hapa.
 
Chamtumavi
Sina makuu, sitamani cha mtu, nakula jasho langu. Ni bora nibebe mabox nipate rizki yangu, kuliko kutamani cha mtu. Ndiyo nikaamua kujiita Chamtumavi-Nakipenda kilichochangu, cha mwingine nakiona mavi.
 
Back
Top Bottom