Je jina lako halionekani kwenye orodha?wasiliana na tume ya uchaguzi ili upige kura

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
piga number zifuatazo ili kuondokana na tatizo lako.
0758466122
0754281463
0754271767
Mkurugezi wa tume ya Uchaguzi RAJABU KIRAVU ametoa number hizo ,na muber hizo ni za watu walioko kwenye database ya NEC huko
 
Taja authority ya directive hii. Halafu hizo namba zote ni za voda na tuna mashaka sana na mtandao huo ambao RA ana hisa, na hivyo ushawishi!
 
Hiyo ni NEC

labda bwana vitendo ungeweka hii habari wazi zaidi...imekaa kificho sana....kama ni NEC lazima watakuwa na land lines, tigo au zain...hii mbona inakaa kama ni za watu binafsi na wote wanatumia vodacom.....how?
 
tunataka kujua
0758466122 - xxxx
0754281463 - yyyy
0754271767 - zzzz
ahsante kwa namba hizo, ufafanuzi utapendeza zaid
kiravu katoa number hizo kupitia bbc na hao ndo watu walioko kwenye database ya tume ya uchaguzi ,hivyo pigeni ili mpige kura.
 
Back
Top Bottom