Je, ITV ni Huru ama inatumiwa na wanasiasa?

kila raia ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake ambayo si lazima yampendeze kila mtu. Katika jamii huru tofauti za kimawazo na mitazamo ni jambo la kawaida na ni chachu ya maendeleo na kwamba kutoa mawazo usiyokubaliana nayo si kununuliwa...toa hoja zako mbadala.

yajana mkuu niabu tena sana tuu hata mimi nilikasilika tunaonekana vilaza sasa!
 
kama mmoja wa washiriki wa kipindi hicho huko nyuma nilishtuka sana jana. Kwanza sura mpya, halafu wanapiga makofi hata bila point yo yote. Kipindi cha jana ni cha kuchonga.
mkuu ulishiliki kwenye aibu ile mimi naona ningepigana na watu waliniuzi hata usingizi sikuupata vizuri kwa hasila!
 
Ile mada inawahusu Polisi sasa kwa nini Mapolisi wenyewe wasiwepo kutoa hoja kwanini wanaua watu kwenye maandamano.Kwenye ule mjadala yapo yaliyokosolewa kwa upande wa jeshi la Polisi pia yapo yaliyokosolewa kwa upande wa raia kuhusu maandamano na nini wanatakiwa kufanya wanapokuwa kwenye maandamano tusiwe tunatetea tu vitu pasipo na upendeleo mi nadhani mjadala ulikuwa wa uwazi.Polisi walikuwa na haki kuwepo ndani ya kipindi husika.Yan we unajisikia raha ITV kuongelea Chadema peke yake ndipo uone haitumiki kisiasa?
kILICHOTOKEA MKUU WALIWAATACK SANA WANAHARAKATI UTADHANI WAO NDO SOURCE YA MATATIZO YA NCHI HIII,
NI UPUUUZI HUUU!
 
Mwenyewe walinibore,nilivyoonaupuuzi ule nikabadili kuelekea Dstv kuangalia kipindi cha"Cold Cases Files"channel ya Crime & Investigation kwa Police na Detectives wa ukweli sio hawa wakwetu Police magumashi!
 
mimi sina hata hamu na uangalia website yao ila kama kuna mtu hapa ana email address ya itv ambayo mtu unaweza kutuma kero/maoni kuhusu vipindi vyao mbalimbali atuwekee hapa ili kila mtu mwenye dukuduku lake awaambie ukweli...!
 
mimi sina hata hamu na uangalia website yao ila kama kuna mtu hapa ana email address ya itv ambayo mtu unaweza kutuma kero/maoni kuhusu vipindi vyao mbalimbali atuwekee hapa ili kila mtu mwenye dukuduku lake awaambie ukweli...!

Mkuu umesema kitu cha maana sana.Mwenye email adress yao au namba yao ya simu ya kero atuwekee hapa
 
NI KWELI KWA SABUBU KILA ANAYECHANGIA ANATETEA POLISI HAKUNA ANAYEONA KAMA POLISI WANAKIUKA HAKI ZA BINADAMU...Huu mjadala una rushwa nadani yake

Nafarajika kukuta wanaJF wenye akili. Jana karibu pressure ipande maana niliona ilikuwa rubbish ya hali ya juu. Sijui kama hao waliofanya hivyo kudhani jeshi la polisi Tanzania ni ideal na always wanafanyakazi professionally na up to the standard na wanaharakati wa haki za binadamu wao ni wahuni na wanaohamasisha vijana kuingia barabarani!
 
Back
Top Bottom