Ndugu zangu nimesikitika sana, kipindi kimejaa mamuluki tupu.. Sijui imekuwaje ni coincidens au?? Kuna mtu anasema eti wengi wanaoandama ni wahuni hawana kazi.. Daah nimesikitika sana kwahiyo wahuni siyo watanzania? Kwahiyo polisi wanaruhusiwa kuua raia is it?? Watanzania tunakoelekea siko kabisa!
Mmoja anasema eti vijana wanatumika kisiasa daah! Hivi mtu ambaye anayeandama bila silaha anawezaje kumuua polisi, nchi zilizoendelea watu hawaandamani? Mbona mauaji hayatokei kama sisi huku!!
Siku moja yatatimia tu, nani asiyejua jinsi jeshi letu linavyotumika kwa maslahi ya serikali!!
Any way.. Acha watuue... Ukombozi utakuja tu
sawa mkubwa.. hongera kwa kufaidika na mfumo uliopo...acha kupotosha wewe kila mtu anaangalia kipindi.Dua la vinega hilo...
yaani mi nimepata hasira mpaka nimeachana nao. Sioni mantiki ya kuandaa kipindi halafu wamekaa mapolisi na wanasheria wao. Wanaharakati wakisema wananyamazishwa. Shame on you!
Ngoja nielekee bar, hii TV naona sikuhizi inaganga njaa, kuna kajamaa kamevaa miwani nadhani pumba zake zimesababisha nipoteze uvumilivu ngoja nikanywe kiroba.
sawa mkubwa.. hongera kwa kufaidika na mfumo uliopo...
si kwel hawako objective.kwa hiyo ulitaka wachangie kile unachotaka wewe?
Hapa hakuna mamluki wala nini,huo ndio ukweli wenyewe!mimi leo ndio nimepata ukweli wa mambo!
unalipwa sh ngapi per day? Naona karbu kila mchango uliotolewa vs polisi umeudefend..vua gamba ndio uchangieacha kupotosha wewe kila mtu anaangalia kipindi.Dua la vinega hilo...