Je! Ipo kibiblia mchungaji kutembea na bodygurd?

wang'ambo

Senior Member
Nov 29, 2015
113
27
Katika siku za sasa watumishi wengi hasa wanaojiita manabii na mitume utawakuta wanatembea na walinzi wawili mpaka wanne Je!, hii ipo kimaandiko au ni mambo ya utandawazi? na kama ipo imeandikwa wapi? kitabu gani katika Biblia naomba kuwakilisha.
 
Eliya Mtshibi na Elisha walitembea na watumishi ambao siku hizi tunaita bordgud, hata Moses Kulola alikuwa naye
 
Mbona ni jambo la kufikilika tu hlo.wanaenda kisasa tu kwa sababu ya mambo ya kidunia,maana pia wana mafanikio kifedha na inawajengea hofu ya kuvamiwa na watu wabaya wasiojua kujitafutia.ni hvyo tu...pesa inaongea
 
He he he
wengine hawajui kutofautisha kati ya bodyguard na mtumishi!

kitendo cha mtumishi wa Mungu kutembea na bodyguard ni kuonyesha udhaifu fulani maana wamehakikishiwa ulinzi na wanaemuamini chaajabu wanajiekea ulinzi!! hapa inanifanya niwaze moja toa ziro plus tano gawanya kumi unapata .........!
 
Imeandikwa "Usimjaribu bwana MUNGU wako" au ulishaona mwenye duka akaacha kufunga mlango wa duka lake kisa kaajiri mlinzi wa kumlindia mali zake? Eboo dunia ya sasa ni tofauti na zamani, zamani ilikuwa ni vigumu kukuta mtu kaiba kanisani au msikitini, lakini leo hii makanisani na misikitini kuna ulinzi.
 
Katika siku za sasa watumishi wengi hasa wanaojiita manabii na mitume utawakuta wanatembea na walinzi wawili mpaka wanne Je!, hii ipo kimaandiko au ni mambo ya utandawazi? na kama ipo imeandikwa wapi? kitabu gani katika Biblia naomba kuwakilisha.
ulinzi binafsi ni muhimu ikiwa kuna tishio la kweli dhidi yako. vitu vingine tuwe tunajiongeza wenyewe maana kesho mtu anaweza kuuliza ni wapi JAMIIFORUMS imeandikwa katika BIBLIA au QURAN
 
Imeandikwa "Usimjaribu bwana MUNGU wako" au ulishaona mwenye duka akaacha kufunga mlango wa duka lake kisa kaajiri mlinzi wa kumlindia mali zake? Eboo dunia ya sasa ni tofauti na zamani, zamani ilikuwa ni vigumu kukuta mtu kaiba kanisani au msikitini, lakini leo hii makanisani na misikitini kuna ulinzi.
Dunia imebadilika au watu ndio walebadilika?
 
Mbona ni jambo la kufikilika tu hlo.wanaenda kisasa tu kwa sababu ya mambo ya kidunia,maana pia wana mafanikio kifedha na inawajengea hofu ya kuvamiwa na watu wabaya wasiojua kujitafutia.ni hvyo tu...pesa inaongea
G hapo umsema vema wanaenda kisasa
 
Mbona ni jambo la kufikilika tu hlo.wanaenda kisasa tu kwa sababu ya mambo ya kidunia,maana pia wana mafanikio kifedha na inawajengea hofu ya kuvamiwa na watu wabaya wasiojua kujitafutia.ni hvyo tu...pesa inaongea
Hata Bwana Yesu alikuwa akitembea na wanafunzi wake 12, kwa siku hizi hao tungewaita bodyguard! Funguka kijana ..
 
He he he
wengine hawajui kutofautisha kati ya bodyguard na mtumishi!

kitendo cha mtumishi wa Mungu kutembea na bodyguard ni kuonyesha udhaifu fulani maana wamehakikishiwa ulinzi na wanaemuamini chaajabu wanajiekea ulinzi!! hapa inanifanya niwaze moja toa ziro plus tano gawanya kumi unapata .........!
Kabisaa mie naona ni udhaifu na kutafuta KIK
 
ulinzi binafsi ni muhimu ikiwa kuna tishio la kweli dhidi yako. vitu vingine tuwe tunajiongeza wenyewe maana kesho mtu anaweza kuuliza ni wapi JAMIIFORUMS imeandikwa katika BIBLIA au QURAN
Mkuu umesoma mada hapo juu? au umekurupuka?
 
Back
Top Bottom