Je ipi njia sahihi ya kukabiliana na uoga?

blackstone

Senior Member
Aug 11, 2015
147
128
Habari zenu wanajf,ni njia gani sahihi zaidi ya kukabiliana na uoga,watu huita phobia wengine huita anxiety,wataalamu karibuni mfafanue
 
kuna anxiety disorder na anxiety attack.
anxiety disorder au panic disorder ni tatizo endelevu hivyo kukufanya uwe phobia.
anxiety attack au panic attack huwa inatokea watu mara chache katika maisha yao kisha hupotea.
ikishakuwa disorder ni tatizo kubwa na ni tatizo la kiakili.
nini kinachopelekea kupata hii panic attack?kwanza wengi hurithi na wengine inatokea kulingana na mazingira yaliyomzunguka kama vitani au child abuse.
binadam wa mwanzo kuishi duniani waliweza kusavaivu maisha ili wasidhurike kwa sababu zamani hakukuwa na silaha za kujihami kama ilivyo sasa teknolojia imekuwa hivyo uoga ndio uliofanya waweze kuishi bila madhara.
tukirudi kwa binadam wa sasa kuna kitu kinaitwa amygdala ndani ya ubongo ambacho kazi yake ni kuswitch fluid ya adrenaline iingie katika damu na kufanya misuli na viiungo vingine viwe tayari kwa mapambano yaani fight or flight.sasa ikitokea unaogopa bila hatari yoyote upo zako geto unacheki muvi ujue wewe umepatwa na panic attack.fear in absent danger.
ukitaka nikupe mbinu za kuacha kuogopa ingia pm takusaidia bure tu
 
tecnic ya kwanza inaitwa exposure.
hii ndio baba lao.yaani kitu unachokiogopa inatakiwa ukifate yaani kama unaogopa mbwa inatakiwa umfate usimame hapo abweke hadi hofu yako iishe uone ni kitu cha kawaida hapo umefaulu.au kama unampenda demu unaogopa kumfata we mwite ongea nae cha ajabu utashangaa anakwambia hata yeye alikuwa anakupenda
 
hofu na mashaka huja kutokana na fikra zako ulivyoziweka,ukiwaza kuwa na hofu basi utakuwa na hofu maisha yako yote ila ukiwa na ujasiri basi Mudawote utakuwa jasiri

HOFU KINYUME CHAKE NI UJASIRI
Eddy Love unapokuwa huamini ktk uumbaji au Mungu aliyetuumba basi hofu haiwezi kukuisha. Ni kwa sababu Mungu kama baba yetu na Muumbaji na ndiye mchungaji wetu basi kila kitu tunapaswa kumkabidhi yeye. Ni kama vile mtoto mdogo nyumbani na wazazi, hivi kwanini watoto siku zote hufurahia na wapatapo shida huria kuashiria baba au mama njoo ninashida? Na hivyo basi tuwe wajasiri kwa sababu yeye Mungu mkuu yupo nasisi 24 hrs/7days a week. Upande mwingine wanaoamini ktk shetani wao siku zote huwa ni full wasi wasi, yaani hata akimuona tu paka anajua anatafutwa kufa, hata bundi tu akilia basi anajua kuna mchawi etc.
Torokeni mje kwa Yesu Kristu, yeye Mudawote ni mlinzi thabiti!
 
Mungu sio baba yetu ni muumba wetu... (how come mungu anapewa jinsi?)
 
kuna anxiety disorder na anxiety attack.
anxiety disorder au panic disorder ni tatizo endelevu hivyo kukufanya uwe phobia.
anxiety attack au panic attack huwa inatokea watu mara chache katika maisha yao kisha hupotea.
ikishakuwa disorder ni tatizo kubwa na ni tatizo la kiakili.
nini kinachopelekea kupata hii panic attack?kwanza wengi hurithi na wengine inatokea kulingana na mazingira yaliyomzunguka kama vitani au child abuse.
binadam wa mwanzo kuishi duniani waliweza kusavaivu maisha ili wasidhurike kwa sababu zamani hakukuwa na silaha za kujihami kama ilivyo sasa teknolojia imekuwa hivyo uoga ndio uliofanya waweze kuishi bila madhara.
tukirudi kwa binadam wa sasa kuna kitu kinaitwa amygdala ndani ya ubongo ambacho kazi yake ni kuswitch fluid ya adrenaline iingie katika damu na kufanya misuli na viiungo vingine viwe tayari kwa mapambano yaani fight or flight.sasa ikitokea unaogopa bila hatari yoyote upo zako geto unacheki muvi ujue wewe umepatwa na panic attack.fear in absent danger.
ukitaka nikupe mbinu za kuacha kuogopa ingia pm takusaidia bure tu
well said mkuu nakuja pm
 
Sasa maswala ya mtu kukufata PM ndio nini?

Weka mbinu mezani hapa,wahusika wajionee.

Wabongo bwana,siri tunasema,bayana tunaficha.
 
Dawa ya uoga ni kujamiiana tu
Hujakumbwa na hilo tatizo ndio maana unafikiria ni tatizo jepesi sana kuliepuka,ninaunga mkono hoja kuwa ukiamua kumkabidhi Mungu maisha yako hiyo hali inaondoka bila ya kutumia dawa yoyote.Nadhani umeshasikia watu matajiri anaamua kujinyonga,au kujitupa ghorofani,wengine wanaingia kwenye ulevi wa unga au pombe wakifikiri wanaweza kueipuka hiyo hali,hii inasaidia kwa muda mfupi then huwa inajirudia tena.
 
Back
Top Bottom