Je ingekuaje kama watu wangekuwa wanaonyesha CV zako kabla ya kuoana?

Solution ni TIME. Mtu hawezi ku pretend for two/three years. Tatizo la watu wengi ni kuparamia wadada/wakaka mitaani na kukimbilia kutangaza nia. Unasikia mdada "nimepata mchumba" sijuhi wachumba wanapatikana wapi????
Mtu anakutana na total stranger afu anajisifu amepata mchumba. Hapo ni kucheza kamali aisee.:A S-coffee:

Kuna watu wanaamini kwamba mtu akikubali kuolewa/kuoa mbasi ndo mwisho wa kila kitu. Watu wa aina hiyo wanathubutu kufanya lolote ikiwemo kuazima magari, nguo, hata uhusika tofauti kabisa katika mwanzo wa mapenzi. Baada ya ndoa ndo wanavaa uhalisia wao ambao huwa ni surprises kwa wapendwa wao na matokeo yake ndoa zenye migogoro hadi kuvunjika. kwa hiyo swala la kufoji lipo sana kwenye mapenzi na matokeo yake ni ndo zenye migogoro. Jiweke wewe kama wewe ili unayetaka kuishi naye akujue na kukuzoea.
 
Back
Top Bottom