Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,925
Hakuna anayependa kuwa na CV mbaya hata siku moja ni situation mbali mbali zinazopelekea kuchafua CV hizo,
Yaliyopita hayanihusu,Naanzia nilipopakuta,
Sitaki kuidhulumu nafsi yangu kwa hukumu ya mambo yaliyopita nikiwa sipo,
Hata yesu enzi zake aliwaambia anayejijua hana dhambi na ni msafi na awe wa kwanza kumpiga na mawe yule mama mzinzi,wote waliinamisha vichwa vyao na kuondoka zao.
So binafsi sion umuhimu wa kujua CV ya mtu,cha msingi yuko single,tumependana,tunaenda kupima,analipa mahari,tunasheki well bifoo uzi then ndoa na burudani zinaendelea..