Je ingekuaje kama watu wangekuwa wanaonyesha CV zako kabla ya kuoana?

Missy

Member
Dec 6, 2011
17
4
Kama wapenzi wangekuwa wanaoyeshana CV kabla ya kuona ingekuwaje?

1. Je wangefoji CV?

2. Je wangefoji uhalisia wa maisha yao?

3. Je ndoa zingekuwa zinadumu au zungekuwa zinavunjika kwa kasi zaidi ya sasa?

naomba maoni yenu tafadhali
 
....Wabongo si unawajua? Mpaka Mawaziri wanafoji vyeti vyao eti wana Phd!!! Kumbe wizi mtupu!!!!! Hivyo kama kwenye wachumba ndio usiseme watu wangejifagilia ile mbaya na maujuzi yao kwenye sita kwa sita, mitoko ile mikali mikali na kuambatanisha statements of bank accounts ambazo zimenona....Baadhi ya ndoa zingedumu maana kuna mabinti waliwaingiza mkenge baadhi ya wanaume na kujifanya wao hawajaguswa (bikra) njemba zikaingia kichwa kichwa na kutangaza harusi haraka sana. Baada ya harusi za kukata na shoka na honeymoon za kihollywoos wakaja kushtuka njemba nyingine zilishachukua bikra siku nyingi sana. Wakaumia roho lakini hawakuona umuhimu tena wa kuvunja ndoa ila siku zikiutwika kupita kiasi huwa zinakumbushia na sauti ile ya kilevi kwamba mama chanja alimtapeli.

Sasa BAK huyo anaetangaza ndoa haraka kisa bikra nae sini hajatulia. Au watu wakisikia bikra wanadhani ndo mwisho wa reli? Acha waingizwe mkenge tu. . . na hivi mChina anajua mahitaji yao, watakoma.
 
Zisingedumu hata kidogo maana kwanza kila mtu angekuwa anadanganya sasa hiyo ndoa ingedumu vipi tena??
 
fojari ya cv mbona ipo kila siku
ukitoa mbimba utamwambia mchumba mtarajiwa?
au uliwahi kukataliwa posa mitaa ya kati.utasimulia?
 
Mtu ukiona anafuatilia sana past jua hajapenda. Wengi wanaangalia present na future na kujiuliza maswali kama katika hii miaka miwili ya uhusiano wetu aminichiti? kama jibu NO; why not marry her/him.

Huko nyuma kama alikuwa kiruka njia yawezekana alikuwa hajapata wa kumfikisha. What matters ni present and future bana. Kwa kuwa CV inaongelea past experience na haisemi chochote kuhusu present wala future sioni kama ni kigezo cha mtu kuolewa/kuoa .:juggle:
 
Mie hua nashangaa saaana wale ambao hawapendi past za wenzao... Hata kama mbaya vipi! Kikubwa mtu ajifunze na alopitia whether good or bad.... What makes the person you like/love is the past... Hio ndio inayokua imemjenga kua bad or Good, hasa kwa anae jifunza tokana na experiences. Hivo CV kuitoa kabla ya ndoa ingekua kama CV za sasa hivi tu, (CHAKACHULIWA).
 
Sasa BAK huyo anaetangaza ndoa haraka kisa bikra nae sini hajatulia. Au watu wakisikia bikra wanadhani ndo mwisho wa reli? Acha waingizwe mkenge tu. . . na hivi mChina anajua mahitaji yao, watakoma.

....Mjini hapa ukienda kichwa kichwa basi ni lazima uuvae mkenge.
 
Mie hua nashangaa saaana wale ambao hawapendi past za wenzao... Hata kama mbaya vipi! Kikubwa mtu ajifunze na alopitia whether good or bad.... What makes the person you like/love is the past... Hio ndio inayokua imemjenga kua bad or Good, hasa kwa anae jifunza tokana na experiences. Hivo CV kuitoa kabla ya ndoa ingekua kama CV za sasa hivi tu, (CHAKACHULIWA).

I believe AshaDii uko sawa ni nzuri kufahamu past ya mtu. It makes it easy to understand tabia ya yule mtu hviyo kuweza kuishi nae, lakini pia pamoja na hiyo past yake yet we as human beings we tend to change with circumstances
 
ingekuwa bien maana kuna watu wakisha oa au kuolewa ndo analeta msululu wa watoto eti shetani alimpitia.sasa ukiambiwa wazi unatafakari na kuchukua hatua .
 
Mtu ukiona anafuatilia sana past jua hajapenda. Wengi wanaangalia present na future na kujiuliza maswali kama katika hii miaka miwili ya uhusiano wetu aminichiti? kama jibu NO; why not marry her/him.

Huko nyuma kama alikuwa kiruka njia yawezekana alikuwa hajapata wa kumfikisha. What matters ni present and future bana. Kwa kuwa CV inaongelea past experience na haisemi chochote kuhusu present wala future sioni kama ni kigezo cha mtu kuolewa/kuoa .:juggle:

vipi kama na kwako anapita tu bado hajafika? Muhimu kujua past hata kama alikuwa kicheche ni vizuri kujua ili ujue utamtuliza vipi.
 
Mie hua nashangaa saaana wale ambao hawapendi past za wenzao... Hata kama mbaya vipi!).
binafsi sipendi na siwezi kuingia kwenye mahusiano ambae najua past yake ni chafu. Unaweza kuanzisha mahusiano na mtu ambaye unafahamu ni mzinzi na ana tabia ya kuwafanya nyuma wanawake?
 
kuwa na CV si tatizo...ishu hicho kilichoma ndani ya hiyo CV..!!? Mbona kama ni CV tu hata watoto wa darasa la saba wangeoa..!!
 
binafsi sipendi na siwezi kuingia kwenye mahusiano ambae najua past yake ni chafu. Unaweza kuanzisha mahusiano na mtu ambaye unafahamu ni mzinzi na ana tabia ya kuwafanya nyuma wanawake?
sasa utajuaje kama ameshabadilika...!? si mpaka umkubali awe mpenzi wako sasa!?
 
Sioni tatizo kama anapita. Aende tu njia nyeupe. Lakini ukweli unabaki pale pale, present ndo mpango mzima. Hata waajiri watakubali, waweza kuta mtu ana CV ya nguvu lakini unampa kazi perfomance zeroooo.

What matters ni kama jamaa/dada yuko real single, si kuchanganya wapenzi, then pima afya, then enjoy. Mkiona mko compatible tangazeni nia finito. Past, past, kuna watu wana past za msururu wa wanaume/wanawake si kwa kuwa ni mapepe ila kwa kuwa wana fall kwa wrong partner a.k.a wana gundu.

Kuna watu wana past za kitakatifu simply bcos walisoma seminary, lakini anakuwa husband ndo kwanza anaanza mapepe kusema teenager.

vipi kama na kwako anapita tu bado hajafika? Muhimu kujua past hata kama alikuwa kicheche ni vizuri kujua ili ujue utamtuliza vipi.
 
Hivi unapochunguza CV ya mwenzako what about yours is it clean???

The past doesn't matter in a relationship, what counts is that you are now together in the present, but many people focus more on it., and that beats me cause you can never mend it even if you try
 
binafsi sipendi na siwezi kuingia kwenye mahusiano ambae najua past yake ni chafu. Unaweza kuanzisha mahusiano na mtu ambaye unafahamu ni mzinzi na ana tabia ya kuwafanya nyuma wanawake?
It really shouldn't matter, the past is the past. You can't change it
 
Back
Top Bottom