Je, inawezekana kuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka Zanzibar

kkitabu

Senior Member
Dec 27, 2011
140
47
Mimi binafsi naona itawezekana baada ya Katiba Mpya kurudisha Serikali ya Tanganyika. Naomba wananchi wenzangu wa Zanzibar wakati wa kuandika Katiba mpya ukifika idai serikali ya Tanganyika mtaendelea kuwa wagombea wenza mpaka lini?
 
hiyo ugombea mwenza ni nyongeza tu kwao.wana raisi na makamu wawili sasa uraisi wa muungano hata wakikosa poa tu
 
hiyo ugombea mwenza ni nyongeza tu kwao.wana raisi na makamu wawili sasa uraisi wa muungano hata wakikosa poa tu
Umesema kweli kwamba ni nyongeza lakini lazima uwepo wa serikali ya Tanganyika utambuliwe kwenye katiba.
Umesema kweli kwamba ni nyongeza lakini lazima uwepo wa serikali ya Tanganyika utambuliwe kwenye katiba.
UUmeseama kweli kwa mba ni
 
Back
Top Bottom