Je inawezekana kusajili kampuni moja lakini ikajishughulisha na biashara zaidi ya moja?

Kig

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
1,076
456
Je inawezekana kusajili kampuni ambayo itakuwa na jina moja tu lakini ikawa inajishughulisha na biashara mbalimbali au biashara zaidi ya moja kwa wakati mmoja? mfano kampuni ikaitwa Selenga General Bussiness Limited halafu ikawa inajishughulisha na biashara ya stationaries, usafirishaji abiria, catering au restaurent services, intertainment nk kwa wakati mmoja.
 
Mfano ippmedia::
1.Wana Magazeti
2.Radio
3.Tv
4.Viwanda

So kampuni moja sema inakua na leseni tofauti za biashara
 
possible, fungua general supply company, but kwenye kila biashara unaikatia licence ya tofauti. . .sema kampuni yote inakua kitu kimoja.
 
Ndio.
Unachotakiwa kufanya ni kuweka kipengele kinachoruhusu hizo biashara kwenye MEMARTs yako. Then unazingatia kanuni za kuanzisha biashara husika...
 
Nashukuru sana wadau mliochangia hapo juu. hakika mmenifumbua macho. Naomba na wengine mnisadie zaidi kimawazo kwa kuchangia hoja yangu
 
Back
Top Bottom