Je, huyu ni mdudu?

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Helo wanaJF wote.
Wataalam naomba niulize. Kila nikiweka flash disk kwenye ya jamaa yangu, USB security yake inaandika hivi
1 Theat found
F:\autorun.inf
Je hii ni virus? na ina madhara gani kwenye Computer? Hivi antivirus ipi ni nzuri zaidi?
Naomba mchango wenu na msaada wenu wapendwa wanaJF
 
Hiyo ni autorun kwa asilimia kubwa inaadhiri katika boot sector yaani kitu chochote kinachotumika katika kuboot ndio inaadhiri huko mfano kama una hard drive na ina partition angalia jaribu kufungua partition hizo utaona haziwezi kufunguka moja kwa moja hiyo inaweza kuondolewa na kaspersky ila baadhi ya versions , antivirus aina ya antivir inaweza kuiondoa , rising antivirus na pc doctor zineweza kuondoa hiyo , hiyo rising antivirus ina feature inayokuwezesha kudelete hiyo autorun moja kwa moja

mwisho kuna programu inaitwa autorun remover hiyo inaweza kuondoa bila antivirus ina inasehemu unayoweza kuset vitu mbali mbali mfano kukataa flash isifunguke au isiweze kuhamisha data mambo kama hayo
 
Sasa naanza kuamini kitu hicho kwa mfano ufuatao:-
Mfano:
Computer ya kwanza ina 1.7GHz, 256Mb of RAM (ambayo ni ya jamaa yangu na ndio ina hiyo virus)

Computer ya pili ambayo ni yangu ina 2.0GHz, 512Mb of RAM
Sasa huwa natofautisha ufanyaji kazi kwa mfano Computer ya kwanza inatumia dakika 5 au zaidi ku-copy muziki au movie, Lakini Computer ya pili ambayo ni yangu inatumia sekunde kadhaa ku-copy the same file or movie.

Kwa mfano huo nadhani Computer ya kwanza imeathirika na autorun. Nitafuata ushauri wenu ili kutatua tatizo hilo.

Computer yangu ina antivirus aina ya Avira Antivir personal Je hii ni nzuri kwa sasa?
 
Kama imeigundua na kuisafisha unataka nini zaidi? Mimi natumia Microsoft Security Essentials, bomba sana and free.
 
Back
Top Bottom