Je huyu ni kiongozi gani wa ngazi ya juu ktk serikali ya Tanzania?

Bright

Member
Apr 9, 2010
67
0
2.jpg
 
Huyo mama ni juu hata ya waziri Mkuu! Si unajua tena, mke wa Mkulu TZ ni zaidi hata ya jaji Mkuu.....wtach out!
 
Huyu Katiba ya URT hatambuliki lakini ndo hivyo tena Tanzania ni kama shamba la bibi!!
 
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Ndani pale Magogoni. Chemwali wa Masasi Ntwara.
 
Anaandaa njia ya mumewe kushinda, anyway wote kibla October, ni bora angekaza ni miradi kama mwenzake Anna.
 
mh!! ni mama JK, lakini mbona tumbo laonekana kubwa au ni mjamwepesi?!!!! hebu ngoja nitafute mawani yangu then i will be back.
 
huyo ni ticha aliyeungaunga vyeti, ka resit mara kibao form four, ana s moja form six, sasa kapata qualification ya kulala na mzee wa mipasho, basi anawatumbuiza wadanganyika wanaopenda mipasho na kurushana roho
 
Hata yeye mwenyewe ukimuuliza yeye ni nani hawezi kukupa jibu, kila utokeapo mlio wa ngoma yeye yupo, mara ujumbe wa neki, mara mtoto wa mwenzio katoto kako kakumbatie kama mjomba alivyomkumbatia mtoto wa shangazi yule bosi wa zamani wa hela, mara ooh mara eeeh. Huwzi jua bwana labda mjomba yuko bize sana na yeye anajisikia mpweke
 
sasa kama watu wanaweza kujitokeza kumsikiliza huyu square root, itakuwaje kwa aliyemtuma??
Hapa ndo napatwa na wasiwasi sana kuhusu watz wenzangu hasa wa vijijini.
 
Du huyu hata kufundisha watoto wetu anaendelea kweli? nani anamruhusu? na anatumia budget ipi?
 
Sasa hayo majungu ya nini? Hata na nyinyi mukiwa na wake zenu mukija kugombea ubunge au uraisi basi mutawaambia wawasaidie.

Na hivyo vyeti vyake vimewahusu nini? Wewe vyako una hakika navyo? Inawezekana ulinunua mtihani ukapata A za dezo!
 
huyo ni ticha aliyeungaunga vyeti, ka resit mara kibao form four, ana s moja form six, sasa kapata qualification ya kulala na mzee wa mipasho, basi anawatumbuiza wadanganyika wanaopenda mipasho na kurushana roho
ya kweli hayo?? basi mbona hatari kubwa
 
Sasa hayo majungu ya nini? Hata na nyinyi mukiwa na wake zenu mukija kugombea ubunge au uraisi basi mutawaambia wawasaidie.

Na hivyo vyeti vyake vimewahusu nini? Wewe vyako una hakika navyo? Inawezekana ulinunua mtihani ukapata A za dezo!
Inaelekea wewe ndiwe wa kwenye picha nini? maana ulishaanza mipasho. Tunaelewa mipasho ni sehemu ya utamaduni wa nyumbani kwenu.
 
Back
Top Bottom