Je huyu ni katibu mkuu wa wizara gani?

othorong'ong'o

Senior Member
Jan 20, 2011
103
19
Naangalia Tv channel ten kipindi cha Je tutafika,mjadala unahusu migogoro ndani ya ccm,sasa Dr. Kitine ktk mjadala ametaja kuwa kuna katibu mkuu ambaye kila mtu anamjua ni Mwizi lakini bado kapewa kitengo na rais,je ni nani huyu
 
Tafuta kuna ka thread kalikua kana ripoti yote ila Makwaiya amemkatiza huyu Dingi...kidogo tu angemtaja jina!!! nimemchukia Makwaiya kwa hili
 
atakuwa ktkk wizara nyeti, kati ya hizi,
Mali Asili
nishati na madini
Fedha
Miundombinu/uchukuzi
Tamisemi
mh,kufikiria tena,it could be in anyministry kwani kila katibu mkuu ana kamchongo kake ka kula kia aina aina,
 
Back
Top Bottom