Je huyu 'Kipanya' kakosea kuchora picha hii ya mkulu?

ndio ukweli wa Zuma sioni popote alipoonewa



Zuma.jpg

 




Tazama katika video jinsi muafrika 'anavyohudumiwa' na jinsi mzungu 'anavyohudumiwa' japo walifanya kosa aina moja.
Kweli safari bado ni ndefu!


The saga continues

[video]http://video.msnbc.msn.com/nbc-news/47557659/#47557659[/video]
 
Last edited by a moderator:
well sidhan kama amedhalilishwa kwa chochote kwani msanii amemu expose tabia yake ya kupenda kuvunja amri ya sita kama anaoa ovyo na kutembea hadi na watoto wa rafiki zake sa huyo mtu anaitaji heshima gani?
 
The potrait of shame!,Zuma ni mashuhuri kwa hiyo business,So ni haki yake kuwa potrayed that way,Ila wasiishie huko tu,Waje na huku Tz,Wapo viongozi wa hulka hizo,They should be potrayed too!
 
Hakimu wa Zuma/ANC aliangusha kilio mahakamani baada ya judge kusema haoni ubaya wa hiyo picha na kuahirisha indefinitely
 
Huyu "Kipanya" hajakosea kwani sio siri kuwa Jacob Zuma ni mkware na hiyo picha ndio inavyoeleza!! Huyu jamaa alimkaza hata binti ya rafiki yake.

Kuna siku nilikuwa nasafiri kwenda RSA nikawa nimeketi kiti kimoja na jamaa wa south. Tukaanza kupiga story akaniambia alikiwa Umikontho we sizwe huko Morogoro. Tukaongea mamho mengi sana yanayohusu taaluma yetu kisha tukaingia kwenye siasa. Jamaa alimponda sana JZ akasema ot is a shame that we have a rapist president in South Africa! Kwa kifupi JZ ni mkware!
 
Back
Top Bottom