Je, Huyu Kijana alizaliwa lini....

SolarPower

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
223
27
Wakuu,

Kuna kijana mmoja huko Mufindi aliulizwa siku yake ya kuzaliwa.

Yeye alijibu kuwa juzi alikuwa na miaka 25 na mwaka kesho atakuwa na miaka 28.

Swali

Je huyo kijana alizaliwa tarehe ngapi na mwezi gani.
 
NI chemshabongo au ni story kama ni story then huyo hayuko makini kama ni chemshabongo basi nieshindwa nakupa mji wa Kigoma a.k.a Dubai ya Tanganyika
 
Geofrey,

Jibu lako ni sahihi. Kwa faida ya wengine naomba utoe maelezo jinsi ulivyoipata hiyo tarehe 31.12. Mwaka wa kuzaliwa si muhimu sana hapa.

ni hiv jamaa alikuw na miaka 25 juz na anatakiw mwakan awe na miaka 28, ili iwe hvo inatakiw jamaa awe kazaliw mwsho wa mwaka tar 31/12/1985 na siku anayotoa taarifa iwe tar 1/1/2012 hivyo juz ni tar 30/12/2011 ambap alikuw na miaka 25 na jana yake ambay ni tar 31/12/2011 ni birthday yak hivo atatimiz miaka 26, ikifika tar 31/12/2012 mwaka huu atakuw katimiza miaka 27 na mwakani tar 31/12/2013 atakuwa na miaka 28.
.......HENCE PROVED.......
 
Safi sana Mkuu na pokea MEDALI YAKO YA DHAHABU.
 
ni hiv jamaa alikuw na
miaka 25 juz na anatakiw mwakan awe na miaka 28, ili iwe hvo inatakiw
jamaa awe kazaliw mwsho wa mwaka tar 31/12/1985 na siku anayotoa taarifa
iwe tar 1/1/2012 hivyo juz ni tar 30/12/2011 ambap alikuw na miaka 25
na jana yake ambay ni tar 31/12/2011 ni birthday yak hivo atatimiz miaka
26, ikifika tar 31/12/2012 mwaka huu atakuw katimiza miaka 27 na
mwakani tar 31/12/2013 atakuwa na miaka 28.
.......HENCE PROVED.......
dhaaa we ni kichwa aaiisee
 
Wakuu,

Kuna kijana mmoja huko Mufindi aliulizwa siku yake ya kuzaliwa.

Yeye alijibu kuwa juzi alikuwa na miaka 25 na mwaka kesho atakuwa na miaka 28.

Swali

Je huyo kijana alizaliwa tarehe ngapi na mwezi gani.

Mhmmmm!!!! Huyo jamaa ana akili timamu kweli?
 
Wewe ndiyo unashangaa!
Na vyema umeuliza tukupige mswaki wa fahamu!
Huyo kijana yuko sawa!
But kwa hesabu za Mars, ongeanae lugha ya huko utamuelewa tu.
 
Back
Top Bottom