Je huu ni uungwana?

uzuri nafahamu wapi pa kukukamata,
na najua hutatoka mpaka ukatambike mizimu ya kwenu!
kazi unayo leo!!!!!!


kaz gan wewe mbona mikwara mende mingiiiii..mikwwara ya kuinua kabat wakat ata nguvu ya kuinua kijiko huna...

nakusubiri babu..usisahau kuja na ambulance liwe linakusubiria kwa nje pale..
unataka kumpa adhabu ya kuruka kichura chura CHURA?
UO NDO MWENDO WAKE...M WAITNG...NAMBA 1 MIMI,MBILI MIMI,TATU MIMI ,,WEWE NTAKUPA 11.
 
dah pole
basi wewe si kambale yatima..wewe ni kambale last born..asi unajua last bon anavyodekezwa na kupewa kila kitu?

usinune jaman ennhh..ehh totooo ntakupa pipi na jojo...pls dnt puff...ehh my kambale last bon...

kambale yatima ni bacha tu bt nt u ma precious last bon....

unajua klorokwin,
kuku wako siku zote sio wa kumshikia manati!!!!!!,
leo hii ndo anajua kama mimi ni kambale yatima?
sasa leo atakutana na kambale mseja!!!!!!!
heheh mbarikiwe sana.

sasa wakuu inabidi nilog out. Nina press conference la kuzungumzia "umuhimu wa kuvaa kufuli kwenye nyumba za ibada"

mbarikiwe nyote.
 
unajua klorokwin,
kuku wako siku zote sio wa kumshikia manati!!!!!!,
leo hii ndo anajua kama mimi ni kambale yatima?
sasa leo atakutana na kambale mseja!!!!!!!



we wadanganye tu wenzio
omba kabsa rambirambi cz ur gone today...awwatakuona teeeeeeeeeena...
 
Hapo kwenye red mkuu umeongea ukweli. hii tabia ipo sana...na watu kama hawa ni maneno mengi sana....blah blah tuu mingi ili kupotezea wengine waendelee kuagiza tuu round. thanks for reminder. inakera sana. Ila hapo kwenye Buluu..umenifurahisha sana....ngoja akina mama nao wajitetee...kwann wanakwepa jukumu hili muhimu.
Ndugu zangu kuna vitabia flan flan vinakera,mwenye navyo aviache.Mfano:
1. Wenzio wanakula wewe unapenga kamasi
2. Mko internet cafe wewe unaongea na simu kwa lisauti likuuuuubwa,inakera jamani
3.Kujishaua,mara oh juzi nilivyokuwa Dubai,mara oh blackberry yangu bomba,kakuuliza nani?
4.Kutegea bill bar,raundi yako ikifika unakwenda chooni
5. Kuazima kitu cha mtu usirudishe
Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.
 
mi tabia znazonikera ni izi;
1.kujichokonoa puani mbele za watu

2.kutafuna chwaa chwaaa km mbuzi yaani ukiwa unakula mpaka jiran anajua yes jiran anatafuna sasa

3.kuingiza kidole mdomon na kuanza kuchokonoa meno mezani wakat wenzako wanakula...domo umelipanua unaingiza kidole kwenye magego ....

4.kunywa chai pyuuuuuuuuu km unapiga mluzi ..sasa apo ombea usimkute anakunywa uji utakimbia manake ni puuu ahh sjui wanavutaje..

5.wanaume wanaotongoza kishamba..nina makontena 7 bandarini...ahh yule jamaa nimemkopesha milion zangu anirudishii..ahh lile hammar langu....yaan nguo mimi sinunui natoa oda tu thailand..ahh bila mimi yule sasa izi angekuwa kijijin..mimi nina akili sana nimeinua sana kampuni ile....

6.nachukia mtu kujifanya much know sana yaani kila kitu anakijua ..kila kitu anataka akitolee mwongozo ata aina za ped wakat yeye mwanaume ..yaaan kila kitu anajua

7.nachukia wadada wanaojifanya wazuriiiiii..kumbe ukimcheki ni bint remy ongala


Hiyo namba tano imetulia sana. Yaani kuna wanaume wenzetu unakaa naye baa akianza hizo za hivyo unaanza kuoana aibu kwa niaba yake!
 
heheheeh BJ bana! hongera kwa kubeba EPL. Halaf juzi nilienda gesti moja maeneo ya sinza nikaona inaitwa Old Trafford khaa! ukivaa jezi ya Manu unapunguziwa bei ya chumba.

Nielekeze ilipo hiyo gesti klorokwini, ili nikapate hiyo hati punguzo! Tehetehtehtehehe!
 
Temea mate chini Merytina,haiendi hivo hata siku moja,acha uzungu bana,kumsopsop mzee na maneno matamu baada ya kujikunja na kukufikisha muhimu sana,uliza mama yeyote mtu mzima atakwambia.Kumbuka kumfikisha mwanamke kileleni si kazi ndogo,yahitaji ujuzi,uzoefu,subira na utaalam wa hali ya juu,appreciation muhimu ili siku nyingine ajitahidi zaidi orgasm ziongezeke.

Nyie wanaume mnawafikisha wake zenu? acha uongo, mimi ni mwanamke na sikumbuki ni lini nimewahi kufikishwa
 
Back
Top Bottom