Je huu ni uungwana?

lugha chafu..kuliwa mzigo du

sasa km yeye ndo alikuwa anakula sa kuna aja gan niende nikmnawishe?
asi aende mwenyewe jaman..

lugha yako au nia yako ni kudhalilisha?
lile tendo linainvolve participation ya mke na mume sa kusema ..UNAMLA MZIGO ..as if ye alkaa tu km sahan si sahihi...

usiwe na dharau kiivo wewe wakat ukinyimwa unalia km mtoto wa paka
HHAHAHA Rose,kumbe mkali weye! nifundishe basi kiswahili fasaha,mmeo anakufanya nini?
 
ahh hauntishi babuwewe..mwanaume gan wewe auniogesh afta work....kwenda zako uko!!!!

siku zako zshamalizika u just wait for kiama!!!!!

tatizo lako mi nshakwambia toka zamani,
usinifute kwa kutumia hizo sijui mnaita wipes, sijui nini vile.....
wewe tumia tu hiyo c.h.u.p.i yako, mimi inatosha,
lakini wewe hutaki lol....
why?
 
tatizo lako mi nshakwambia toka zamani,
usinifute kwa kutumia hizo sijui mnaita wipes, sijui nini vile.....
wewe tumia tu hiyo c.h.u.p.i yako, mimi inatosha,
lakini wewe hutaki lol....
why?



poa basi ntakuwa nakufuta na jeans basi...
 
nimemtenda day n night nw kabak tu sharubu zimemsmama kama kambale yatima!!!!

Khaaaa!

poa basi fanya utume manake ndo naota apa...iwe mwekundu basi japo niweze kukubp ukituma buku5 staweza ata kubip sawa klolokwn...?
naomba nusu kaput bas...
ina maana mimi ndio next viktim? a.k.a future kambale yatima? khaaa! mie naona bora ile ndoto uikensel tu.
 
Kuliwa mzigo ina-sound kikatili vile!

BTW : Unatakiwa kunawa kwa MAJI YA BARIDI baada ya kula mzigo na siyo moto au vugu vugu - Huo ni ushauri wa Wataalamu
maji baridi? mmmhhh kwa nini? ndo nasikia leo. Sasa baba E ina maana kasoseji kangu kashakufa basi maana miaka nenda rudi kanasafishwa hivo.
 
Khaaaa!


ina maana mimi ndio next viktim? a.k.a future kambale yatima? khaaa! mie naona bora ile ndoto uikensel tu.


mbona unakuwa kunguru wewe?
kuwa mchwa bwana.

wewe njoo tu ndoton mintakuota na ole wako nsikuone kwenye eneo la tukio!!!
 
Last but most important kinamama ambao baada ya kuliwa mzigo unamwacha mzee akanawe mwenyewe bafuni badala ya kutenga mapema maji vuguvugu kwenye beseni na sabuni ili mkimaliza umsafishe mzee kwa mapenzi huku unamshukuru kwa kukupa mahanjam.

hapo umenkumbsha nilikwenda kwenye kitchen party mtoa mada alisema mwiko uliosongea ugali haulowekwi mwanamke shurti uoshe ndipo uendele na mambo mengine :pound:

Rose1980 umeona haya mambo?
 
Si uungwana kabisaaaaaa... naomba niongeza moja kukopa alafu wakati wa kulipa ukifika simu yako unazima kabsaaaaaa!
 
Wewe una hatari sana yani bado Sinza hujaachana nako, sasa na-Copy & paste hiyo maneno yako kwa wifi unless kama ulienda nae:))
Hiyo Guest nayo inajua kuvutia wateja, basi arsenal japo wanatuchukia watavaa Maure jezi ili mradi wapate punguzo..teh teh
Asante, raha ya ushindi mpaka leo chereko..bado Barca!!

Halafu Bishanga, umenichanganya wewe...yani kumbe mnatula mzigo eeh? mmh! mbona hamuumalizigi mkiula?
ngono ina majina mengi bana,lipi we unapenda kutumia kuto....,kuti.....,kupigwa,kugongwa,kuwashwa,kulambwa,kuchakachuliwa,kumegwa,kubinywa...........sema mwenyewe term gani inakupendezesha? au kufanya tendo la ndoa? au kukutana? sema tu maana tendo ni lile lile...in....out...in....out.
 
hakyanani siji! dah! kambale yatima? dah! inauma sana aisee.


dah pole
basi wewe si kambale yatima..wewe ni kambale last born..asi unajua last bon anavyodekezwa na kupewa kila kitu?

usinune jaman ennhh..ehh totooo ntakupa pipi na jojo...pls dnt puff...ehh my kambale last bon...

kambale yatima ni bacha tu bt nt u ma precious last bon....
 
Back
Top Bottom