je huu ni utapeli au?

Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
336
86
habr wakuu!!
Kuna mdogo wng amepigiwa simu asubuh ya leo. Walimuuliza huyu dogo kwamba naongea na frenk? Dogo akamwambia ndo mm. Akaendelea na maongez bwana huyo kwamba 2meona fomu yako ya maombi uliyoomba hapa chuon kwetu, chuo chenyewe kinaitwa
www.must.ac.tz
dogo akamwambia ndio niliomba, jamaa akaendelea kumuuliza, umefanikiwa kujiunga na chuo chetu dogo alifurah sana kuskia hivyo, jamaa huyo akamwambia dogo' unatakiwa kutuma tsh 50000 kwny tigo pesa or m pesa ili 2kupe utaratibu unakuaje, dogo akauliza ada yao ni tsh ngap? Jamaa akamwambia ada ni m1.2 hostel utalipia elfu hamsin kwa mwez.

Sasa wana jf utata unakuja wap? Hapa anaposema atume hela kwny nmb yao ya tigo pesa or m pesa huu co utapel jaman et?
 
KAMA NI Kweli ALIOMBA HICHO CHUO BASI PIGENI SIMU CHUONI AU TUMENI EMAIL ADMINISTRATION ILI MPATE UHAKIKA......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom