Je huu ni mtandao wa wizi?

Mutta

Senior Member
Mar 24, 2011
101
11
Natumaini wana jf.Kuna e-mail zinatumwa kutoka kwa watu wanaojiita wakimbizi kutoka Nigeria na Ghana wapo Senegal kambini.Wanasema wazazi wao wamekufa kwenye Vita.Wanadai wanahitaji foreiners ili waweze kuhamisha fedha kwenye akauti zao.Ukianza utaratibu huo ,mara unaambiwa zinahitajika UK 200 kwa ajili ya kuandaa document fulani,mara UK 5000 nauli ya kusaifiri kwenda Kusaini document Uingereza? Je yamewakuta hayo?
 
Huo ni mtandao wa matapeli ndugu yangu! Tena wamesena Nigeria na Ghana. Usiwape taarifa zako. Wakimbizi hawatumiagi njia kama hizo, kwani wanaratibiwa na UNHCR, mashirika ya kidini n.k.
 
Back
Top Bottom