Je, hizi pikipiki ni masalia ya uchaguzi uliopita au ni maandalizi ya uchaguzi ujao?

Kashaija

JF-Expert Member
Aug 7, 2008
255
58
DSC00376.JPG

Jana nilikuwa kwenye semina pale M'nyamala - K'ndoni katika ukumbi wa vijana. Nilishangaa kuona kuna pikipiki nyingi takriban 300 ambazo tayari zina usajili zikiwa zimeifadhiwa pale, na kwa jinsi zilivyojaa vumbi, inaonekana zimekaa pale mda mrefu kidogo.

Sikuweza kupata mtu wa kunipa jibu la uhakika, ila bado najiuliza, Je, ni za nani? Kwa ajili ya kazi gani?

Angalia picha imeambatanishwa.
 
Back
Top Bottom