je hizi accessories za tumika chuoni?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
kuna mchizi wangu ktk maandalizi ya kuingia chuo kaandaa PASI YA UMEME,HEATER,RICE COOKER!JE hz ataweza kuzitumia iwapo atakuwa anaishi lyf la HOSTEL!waliotutangulia 2peni utaratibu wa ma2mizi ya socket za umeme chuoni!mchizi anaingia pale st.joseph dar!nawasilisha!
 
yap,kama kawa,tho chuo hua wanakataaga,bt w2 huja nazo! Uzur wa hostel chuo ukshapewa key bhaas, hutamwona warden ad mwsho wa mwaka...! Unvsty lyf ipo huru
 
yap yap vinatumika tena sanaaaaaaa. Ila ukiwa unaishi hostel za chuo rice cooker watamzingua ila ukiwa nje wewe tu
 
st joseph hakuna hostel za chuo, watu wote wanapanga hostel binafsi ndo maana unamuona jamaa anajipanga.
 
software shakuxoma!vp vyuo vingine hizo mambo zakubalika zote au baadhi!wadau 2pieni kipi kinakatazwa vyuoni kwenu!
 
Last edited by a moderator:
abebe birika la umeme, flat tv, desktop computer, kabati la vyombo,extra godoro/matress 'ili alale kwa raha, home theater, jiko la umeme, refridgerator, supra na asisahau BOX LA NDOM
 
huh!AM talking money u r talking nonsense @ qualified & kingxvi !it may seem not helpful 2 you,pass and go then!'receive the middle finger' G.O.D forgive m coz am forced 2 do xo!
 
swali linauliza 'hizi accessories za tumika chuo' cijauliza vifaa gani vingine vinatumika vanmedy umedandia gari kwa mbere na usha-GONGWA!Pokea middle finger!
 
Back
Top Bottom