Je Hili ni tatizo? Jinsi gani kulitatua?

nashukuru wote jamani

@ CORAL, nimesoma hiyo nakala ya daily monitor imenifungua macho, thnx

@ Annael, nitajaribu kujirekebisha kwa siku saba mfululizo (God give me strength to do this) kama usemavyo, kuanzia sasa hivi

@Lizzy, yaani mamy nina kazi ya ziada katika hili la uongo kwa kweli. thx kwa kweli nimefunguka..kuanzia sasa hivi naacha hiyo kitu inaitwa Paranoia..kwa leo tu tayari nshaharibu hali ya hewa asubuhi..sasa naacha kabisa.

Noella pamoja na wewe kujirekebisha, inabidi nae aache uongo kama nia ya mahusiano yenu ni kufika mbali.
 
anadanganya yote yote kwa kweli, anaweza akasema uongo kwa mtu halafu anakuja kunambia nimemwambia mtu fulani kuwa hivi na hivi akikuuliza sema ndiyo.au anadanganya mimi napoishi au yeye anapofanya kazi cheo chake, anadanganya amewahi ishi abroad..na pia anadanganya kuhusu fulani kamtaka mara rafiki zangu, rafiki zake, wafanya kazi wenzake na hata ndugu zangu,lol, yani yeye ni kudanganya tu Lizzy ,mpaka kwenye kila maneno 100 aongeayo huwa naamini 45 tu kwa kweli.

kumbe unahaki dadangu ya kuwa na wivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom