Je hili ni kosa?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Wana jf ni kwamba kuna rafiki yangu jana alikuja kwangu kuangalia mechi kati ya fulham na t'ham akiwa amevaa shati la ccm, na kabla hajakaa nilimsihi aondoke mara moja kwa sababu zifuatazo:
1. Watoto wangu wanakosa sukari kisa ccm,
2. Hali ya maisha ngumu kisa ccm
3. Shureni hata test tubu hamna kisa ccm
4. Kila siku ni bora ya jana kisa ccm, n.k
kwa hali hii niliona siwezi kuona maisha yanakuwa magumu halafu eti wana ccm wako kwangu wanaangalia tv yangu binafsi na mbaya zaidi watoto wangu ambao sijui maisha yao yatakuwaje wakiwepo. Maamuzi haya ni sahihi?
 
Elimu MBOVU kwasababu ya CCM...

250487_152101058196488_100001897841777_327978_5672776_n.jpg
 
Wana jf ni kwamba kuna rafiki yangu jana alikuja kwangu kuangalia mechi kati ya fulham na t'ham akiwa amevaa shati la ccm, na kabla hajakaa nilimsihi aondoke mara moja kwa sababu zifuatazo:
1. Watoto wangu wanakosa sukari kisa ccm,
2. Hali ya maisha ngumu kisa ccm
3. Shureni hata test tubu hamna kisa ccm
4. Kila siku ni bora ya jana kisa ccm, n.k
kwa hali hii niliona siwezi kuona maisha yanakuwa magumu halafu eti wana ccm wako kwangu wanaangalia tv yangu binafsi na mbaya zaidi watoto wangu ambao sijui maisha yao yatakuwaje wakiwepo. Maamuzi haya ni sahihi?
Mkuu hukuwa sahihi hata kidogo, umemdhalilisha huyo rafiki yako kisa eti CCM. Mimi kuwa CCM au CDM hakunisaidii sana mpaka nijenge ukuta mkubwa kiasi hicho. Nakushauri kama kweli ni best yako mwombe radhi japokuwa baadhi ya watu hawataweza kunielewa kwa chongo la ushabiki.
 
inavyo elekea wewe hata kama mwajiri wako ni kada wa ccm unaweza kuacha kazi.unanikumbusha mdau fgulani aliamua kunyeshewa na mvua na rafiki yake ana miamvuli miwili yenye nembo ya ccm akakataa kutumia kisa ccm.kama haitoshi likaja daladal lenye bendera ya ccm na chata kibao za ccm hakutaka kupanda.huyo mtu ana msimamo kama wako tena ansema gari linaweza kupinduka kisa bendera ya ccm.
ungemshauri tu na kumweleza vip maisha anayafaidije kwa kua kada wa ccm???hapo ndo ungejua kwa nini yeyey na shati za ccm au mpaka ringtone za ccm?unaweza kukuta ni mwana mtandao,fisadi na kula yake ni ubazazi wa ccm?hajali haya yanayoendelea.maana wanadai MAWETHUBUTU,WAMEWEZA NA SASA WANASONGA MBELE....
 
Wala hukukosea mkuu, ungemfungulia na wale mbwa wako wang'ate hata nyama ya ****. Shwain huyo haoni life ilivyo gumu kisa ccm hao.
 
Kukosa kuvumiliana kwa mbaaaaaaaaaali naona kama kimbali inakuja bongo
 
Watu kama wewe ndio mnafukuza wenzenu mpaka kanisani kisa eti kaipigia kura CCM
 
Back
Top Bottom