Je, Hili nalo lina Ukweli....?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa hamjambo? Nimewamiss

Kuna sehemu nimesoma eti matatizo ya mapenzi (Love problems) yanaweza pia kutokea iwapo mtu utaanza kuwa na mawazo ya "Je ninampenda zaidi ya anipendavyo? (do I love him/her more than s/he loves me?). Kwa sababu wanadai once utakapoanza kujiuliza swali hilo utaanza kuchanganua na kuexamine vitu vyote uvifanyavyo kwa penzi lenu, jinsi unavyo-express love yako kwa mpenzio, how much time and energy we’re putting into that relationship. Baada ya hapo utafuatia na kuanza kujiuliza na kuchunguza kama mpenzio ana-give back an equal amount kama unavyoweka wewe na mara tu utakapogundua mapungufu (discrepancy) kwenye hiyo balance sheet yako basi utaanza ku-back away from that relationship.

Eti we don't want to love more than they love kwa kuwa tunahofia kuwa kama tukipenda zaidi ya tupendwavyo basi we will be taken for granted and be played for a fool.

Source: Difficulties & Problems In Love Relationships

Najiuliza je ni kweli kuwa hatutakiwi kuyatathmini mahusiano yetu? Ukipenda na yeye ukahisi anakupenda mkakubaliana basi hakuna haja ya kuyachungua kwa mtindo huu?
 
Naona hiyo wanaitumia sana wanaume kuliko sisi, wengi wanaogopa kutupenda back au kuonesha mapenzi kisa; tutawapanda kichwani.

Mapenzi ya kutegeana yanaudhi!!!!!!
 
ni kweli kabisa, swali baya sana hili
ananipenda kama ninavyompenda?

Aisee on point kabisa, utaanza chunguza na mara ngapi anakusalimu ukilinganisha na wewe, mara ngapi anasema 'miss u' ukilinganisha na wewe na anawasiliana vipi na rafiki zake ukilinganisha mna wewe.

Ukiona wee vyako vinazidi unaanza kukata tamaa.

Nimekoma, sifanyi hizi analysis tena.

thanks MJ1
 
Kweli kabisa Kongosho nimemaanisha hizo analysis hizo hizo. Sasa kuna njia nyingine ya kutathmini maendeleo ya penzi lenu!? Au ndo utachukulia hakuna mabadiliko?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Umesema vema Kongosho......mara nyingi sana hivi viuchunguzi vikianza na mapenzi huanza kulega lega hapo hapo.....unajiuliza na kujijibu mwenyewe mwisho wa siku unapunguza kumsalimia/kumjulia hali mwenzi wako.....mimi naona kama umeamua kufanya fanya bila kutegemea chochote!
 
Last edited by a moderator:
Dada Kaunga wakati nasoma hiyo kitu nlikuwa nakupicture wewe dada yangu hahaha ni kweli swali lako ni la maana sana.... Raha ya penzi lisilobalance iko wapi? Na utajuaje kama halijabalance kama sio kwa kufanya hii analysis wajameni?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Naona hiyo wanaitumia sana wanaume kuliko sisi, wengi wanaogopa kutupenda back au kuonesha mapenzi kisa; tutawapanda kichwani.

Mapenzi ya kutegeana yanaudhi!!!!!!

Kaka Kaunga wakati nasoma hiyo kitu nlikuwa nakupicture wewe dada yangu hahaha ni kweli swali lako ni la maana sana.... Raha ya penzi lisilobalance iko wapi? Na utajuaje kama halijabalance kama sio kwa kufanya hii analysis wajameni?

Mmhhhhh!
 
jamani mmh.......! sijui ni kwasababu miye nishakuwa zilipendwa ama lakni ngoja niseme tu manake wanasema utuuzima dawa ingaa jalala pia.

Kwanza kabisa naoma sweetlady na Kaunga na Kongosho na MwanajamiiOne muelewe hivi na ndivyo ilivyo kwangu katika maisha mtu hupaswi kuangalia wema unaotendewa au ubaya bali unapaswa kuangalia wewe ni nini wajibu wako juu ya mtu mwingine. hii inanifanyaga miye niseme " it is not that water which i drink matters, but which i spill through" sina maana ya kusema tenda wema nenda zako la hasha bali nina maana kwamba kila kujitoa kulko kwema kwa mwenzi wako ni njia ya kuelekea mema ya mwenzi wako.

kamwe usiangalie mwenzi anatenda mangapi juu yako bali angalia wewe wajibu wako ni nini ili uelekee mema ya mwenzi wako.sijui vijan wa siku hizi nati gani zimechomoka ukicompare na siye BBC manake they are too theoretical and they have a lot of theories ambazo ni hypothetical. na mwisho wa yote ni mafundisho ya kukata tamaa kiasi kwamba ibilisi naye anapata pa kujishika lolest. Mimi niwashauri wadogo zangu ninyi wa moyoni msiishi kwa shuhuda za kushindwa jamani, mbona dunia ni njema sana na ina wema wote? hivi kwanini Mungu ampe fulan ndoa njema halafu wewe akupe mbaya wajkati alisha sema? yeye ajipatiaye mke apata kitu chema so wewe ni mwema kwa mumeo?

kwanini mnaaminishana katika maisha yenye upande mbaya tu ambapo sasa iblisi naye analiangalia na kutushtakia hili kwa Mungu? acheni haya bwana hebu tukiri wema halafu tumwambie Mungu aliye asili ya yote uone kama hatawapa yaliyo mema? vilima vipo na mabonde yapo katika maisha ila si kwa extent ambayo tunaiweka jamani ina maana Mungu aliumba watu tusifurahie maisha ya ndoa kabisa ama alitupa kitu ambacho hakuwa na uhakika nacho? nisameheni tu jamani ni uzee tu yawezekana kabisa ushamba wangu ndio unaonisumbua msinizodoe jamani.
 
Last edited by a moderator:
unaanza kuangalia miezi sita iliyopita tulikuwa stage gani? Na sasa je nini kime-improve.

Sijui kama na wanamme huwa wanafanya hivi, ntafurahi mmoja akifunguka

maana mdada akiona hakuna improvement ya penzi anaweza anza withdrawal taratibu.

Kweli kabisa Kongosho nimemaanisha hizo analysis hizo hizo. Sasa kuna njia nyingine ya kutathmini maendeleo ya penzi lenu!? Au ndo utachukulia hakuna mabadiliko?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Dada Kaunga wakati nasoma hiyo kitu nlikuwa nakupicture wewe dada yangu hahaha ni kweli swali lako ni la maana sana.... Raha ya penzi lisilobalance iko wapi? Na utajuaje kama halijabalance kama sio kwa kufanya hii analysis wajameni?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Bila analysis huwezi jua MwanajamiiOne
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin, kwanza nakubaliana na wewe, hutakiwi kuangalia mambo hayo.

Lakini moyo ukifika bei unakuwa unatamani mtu akujali kama unavyomjali, hapo ndio unajikuta unaanza ufukunyungu kama huu.

Si kila mahusiano unaweza fanya mambo ya aina hii, inafanyika bila hata kufikiri pale tu unapopapenda.

Kuna mtu mwingine mnakuwa na mahusiano wala hushtuki, sijui nisemeje but 'moyo msaliti afu mbinafsi sana'
 
labda Kongosho tujiulize swali la msingi sana juu ya shina la hoja hii. what are the indicators that your love is growing? or say is dying? tukiweza kupata jibu hapa tutajua nini cha kufanya
 
Last edited by a moderator:
ukiona wee ndio unawekeza sana unaanza kukata tamaa pole pole mwishowe waweza tema mzigo hivi hivi.

Afu ukutane na mtu mgumu 'kurenew statement'
yaani alivyokuambia anakupenda siku mnatongozana ndo basi tena hatakaa arudie kusema neno hilo.

Kama hukumrekodi kipindi cha matongozo ili uwe unajikumbushia imekula kwako.

Umesema vema Kongosho......mara nyingi sana hivi viuchunguzi vikianza na mapenzi huanza kulega lega hapo hapo.....unajiuliza na kujijibu mwenyewe mwisho wa siku unapunguza kumsalimia/kumjulia hali mwenzi wako.....mimi naona kama umeamua kufanya fanya bila kutegemea chochote!
 
Last edited by a moderator:
dah, viashiria ni vingi ila kimoja wapo ni ukaribu kati yenu unaongezeka au unapungua?

Nshaanza konyagi sina nguvu ya kusema zaidi hapa labda kesho.

Back
Top Bottom