Je hili la iringa litaingia akilini mwa shigela?

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Ni katika mauaji yaliyofanywa na POLISI pale Morogoro Shigela ambaye anajiita kijana wa CCM na anatambulika hivyo na Wanaojiita vijana wenzake pale CCM, alisema kuwa mauaji ya Morogoro hayaingii akilini kwa kuwa POLISI waliwaona CHADEMA kwa nini waue mtu asiye CHADEMA na akasema kuwa lile haliingii akilini mwake na kama haliingii akilini mwake basi CHADEMA walihusika.

Swali la kujiuliza hili la MUFINDI limeingia akilini mwa SHIGELA? na kama limeingia je ni POLICCM ? kwasababu policcm waliwaona waliokuwa wakifungua tawi iweje wakamuuua mwandishi wa habari?
 
Shigela sio kijana ni mzee yule magamba yanafoji hadi umri.......huwezi ukawa kijana alafu akili zimepauka kiasi hicho....propaganda na kushirikiana na polisi wapumbavu kuua raia
 
Shigela hana lolote anaujua ukweli kuwa polic ndio wahusika wa mauaji lakini kwa kuwa yupo chama cha mauaji anakanusha ili aendelee kufaidi vinono vya ccm.
 
Shigela sio kijana ni mzee yule magamba yanafoji hadi umri.......huwezi ukawa kijana alafu akili zimepauka kiasi hicho....propaganda na kushirikiana na polisi wapumbavu kuua raia
ni kweli sio kijana shigela hana aibu hasa unapoongelea mtu kupoteza uhai,shigela ameongea kupitia taarifa ya ITV kuwa haiwezekani kila mkutano wa chadema mauuaji yanatokea amesema chadema wajipange na wajipime kwa mauaji hayo
 
Ebana huyo Jamaa nilikuwa Simfahamu ila Nimetizama ITV jama ni Lizee mno hivi Umri wa Vijana wa UVCCM mwisho huwa ni Miaka mingapi? Hta Mtoto mdogo asiye na akili Timamu hawezi kuongea Pumba kama alizoongea Huyo Shigela eti Viongozi wa Chadema wajiulize kwa nini kila Mikutano yao watu wanauwawa? yaani hana akili japo kidogo kuona nani huwa anaua au kuanzisha fujo? wakati ni wazi Police ndio wafanya fujo Tanzania nzima tena wakiwa wamepewa maagizo na wao ccm
 
Kwani shigela nae ni kijana?
- na kama ni kijana, ujana mwisho miaka mingapi maana 2005 nikiwa na miaka 18 nilianza kuitwa kijana na jk alikuwa na 55yrs nae niliaambiwa ni kijana mwenzangu.. Au ukiwa mwana'ccm mtu huzeeki?
 
Back
Top Bottom