Je hiki ndo kizazi kipya cha kike?

Hayo ndiyo maisha ya kimjini mjini Tamthiria nyingi sana kila demu yeye ni mjanja tu hata kama mporipori. Yaani kila demu anatamani kubinua maziwa na nguo za kukaa uchi hasa zinazobana masaburi..................... tazama kaka Mia hiki ni kizazi kile ambacho kilitajwa kizazi cha laana na uzinzi na uasherati yaaani tabu tupu.
<br />
mia
 
duh,wewe kweli ni mia kila siku.
shuka 80 kidogo au panda 200 u experience the difference
mkuu nashindwa nmusikilize nani.king'asti anataka niseme buku,husninyo anataka niseme buku mbili,wewe nae eti 80 na mimi nataka mia kwa sababu ndo asilimia zote.nikikupa mia ni sawa na 100%.bila shaka ni kukubaliana na mawazo yako au kukubali nisemacho.mia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom