Je,hii tunaenda wapi?

Kweli kati ya vitu vinavyochangia kutoendelea sisi waafrika ni pamoja na uongo...! Hili ni tatizo sana na ni kitu ambacho nimekutana nacho sana...! Hii tabia ya kudanganya imekua kama ni kitu cha kawaida kabisa...!

Kwa wale ambao wamebahatika kusafiri au kuishi nchi za wenzetu haa ndio unaweza kuona tofauti kati ya sisi waafrika na wazungu...! Wenzetu sio wepesi wa kudanganya au kusema uongo kama sisi tulivo...! Kudanganya ni tabia moja mbaya sana...!

Tatizo la kudanganya ni kwamba uongo huwa una mwisho...! Siku ukweli utakapogundulika utaumbuka sana...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom