je hii topic ilyopo habari mchanganyiko UKOLONI MAMBOLEO DOLLY ESTATE FOR WHITES ONLY

warumu

Member
Mar 3, 2012
42
1
Mbona wana jf wengi wenu ni wachangiaji wazuri tu WA MADANYINGI SANA HUMU isipokuwa hiyo au mnaogopa kama mimi je hii ni kweli au ni upotoshaji jamii WA MAKUSUDI.

Na kama ni kweli je Si HAKI KWA WAMERU Kudai ardhi yao hata kwa ncha ya upanga na kusapotiwa na WATANZANIA WENZAO

Naomba kutosema mengi ila hiyo nayo ni changamoto kwetu wote wazalendo bila Kuwa na itikadi za kikabila,kidini,kisiasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom