Je hii ni sawa?

Ina maana wanaume hawawezi kukaa na shemeji zao wa kike, lazima wawamendee...!?

Sasa kulikuwa na haja gani kwa huyu mwanaume kukaa na shemejie ilhali hamna watoto wala nini...bora huyu shemejie angeenda Dom kumsaidia mama na mjamzito...
Kwa mazingira kama hayo, mtu na shemejie mwaka mzima lazima wamendeane!!!
 
Hivi kwani pneumonia ndo ikabidi ahamishe makao ndo suluhisho kweli? ilikuwa advise ya daktari? na je, mwaka mmoja bado tu anaogopa kuwa atapata pneumonia au walishindwa kumpa matibabu stahiki? isije ikawa kuna tatizo jingine kwenye hiyo familia?
freind
hiyo ni thibitisho kwamba hao jamaa hawana uelewa wa ugonjwa uliowaua watoto wao waliotanguli... na pia ni ishara tosha kwamba daktari hakufanya alichotakiwa, hakuwaelimisha tatizo la watoto vyema
Pneumonia iko sehemu yoyote ile si lazma iwe da na na sio dodoma

Ni kwa hali hiyohiyo, hao jamaa wanaonyesha mapungufu yao ya namna ya kumlea mtoo na familia kwa ujumla... yaani dada analea mme, na mke analea mtoto sehemu mbili tofauti,

sasa hao ni walio dar, juilize tuna cases za namna hii ngapi zinazoendana na magonjwa au matatizo mbalimbali

kwangu mimi na-link hayo yote na ujinga, umskini na maradhi, vitu ambavyo ni basic na tunashindwa kuviondoa kama nchi --- kibaya zaidi waweza kuta hata majirani wanashangaa zaidi kuliko kuwasidia kimawazo, our social interaction pia iko kimtindo
 
Back
Top Bottom