Je hii ni sawa?

Asu tz

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
336
86
Habr wakuu?

Samahan kuna vitu ambavyo vinaniumiza kichwa ikiwemo hil.

Je police kwa jina la haraka haraka wamezoeleka kama tigo.

Hawa jamaa wanahusika na ukamataji wa piki piki/ bodaboda wanapokukamata wanataka waendeshe pkpki wao hawatak kupakizwa je kuna sheria inayosema askar anapokukamata ni lazima umpe funguo ya usafir wako akuendeshe?

Nawasilisha kwenu.
 
Hairuhusiwi yeye kuendesha usafiri wako, hata kumpakia haitakiwi, inabidi yeye apande usafiri wake halafu muongozane kwenda kituoni. kama mtuhumiwa ina maana unaweza kumfanyia kitu chochote kibaya akiwa ndani ya usafiri wako ndio maana hairuhusiwi.
 
Thanks mkuu kwa ushaur wako.
 
Back
Top Bottom