je? hii ni sawa kiafrika?

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
nawauliza wenzangu hii tabia ya kutembea kijana wa kiume na wakike wakishikana mikono na hata kubusiana mbele ya umati ni sawa kwani hata vijijini naona cku hizi inaenea.
 
Haha!Sijui kwa Kiafrika kwa sasa,Ila sasa China ndo kawaida kabisa,Na Binti asiposhikwa mkono na Boyfriend wake njiani yaweza kuwa ugonvi...na mabusu wala hakuna shida watu wala hata hawaangalii maana ni kawaida.Na wachina pia miaka kadhaa iliyopita hii kitu haikuwepo na vyuoni ilikuwa ni sheria kutobusiana hadharani,labda ndiyo Dunia yetu inabadilika ndugu yangu.Sasa sijui mabadiliko haya kama ni mazuri au mabaya!!!
 
nawauliza wenzangu hii tabia ya kutembea kijana wa kiume na wakike wakishikana mikono na hata kubusiana mbele ya umati ni sawa kwani hata vijijini naona cku hizi inaenea.

Kushikana mikono ni moja ya njia ya kuonesha mnapendana kiasi gani,tatizo itakuwa kama mnashikana mikono msiokuwa nauhusiano unaowawezesha kushikana mikono kama mtu na mkewe,au mtu na kaka yake si vibaya.Kubusiana kiafrika,nafikiri si sahihi.Hatujalelewa na hatujazoeshwa hivyo.
 
Back
Top Bottom