Je, Hii ni Kweli?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Wana JF, Je, ni kweli haiwezekani kupenda sawasawa na jinsi wewe unavyotaka upendwe? Who ever loved exactly the same as he/she wants to be loved?
 
Hamna kipimo cha mapenzi.
Kila mtu ana namna yake ya kumuonyesha mwenzake kuwa anampenda, lakini hiyo haionyeshi kiasi cha huba kilicho ujaa moyo.
Mpende mpenzi wako kwa zaidi ya utakavyoweza.
 
Hamna kipimo cha mapenzi.
Kila mtu ana namna yake ya kumuonyesha mwenzake kuwa anampenda, lakini hiyo haionyeshi kiasi cha huba kilicho ujaa moyo.
Mpende mpenzi wako kwa zaidi ya utakavyoweza.

Lakini mkuu kwenye nafsi yako umeweza kumpenda mwenzio sawasawa na jinsi wewe unavyotaka yeye akupende? Najua ukweli ni moyoni mwa mtu mwenyewe, lakini hakuna aliyeweza kupenda kwa kiasi hicho...! Bisha.
 
Haaaa kumbe wewe unataka kubishana badala ya kueleweshana!!!!
 
Na mwisho wa siku ukigundua kuwa hupewi penzi kwa kadri utoavyo ............utapunza ili mbalance? nawaza kwa sauti!:becky:
 
Back
Top Bottom