Je hii ni kweli haki kwa waalimu kuwatesa wanafunzi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
HII NI HAKI KWA WAALIMU.jpg
 
Na bado angemuwekea na mfuko wa zege juu mitoto ya dotcom hii mwalimu utaishia jela wewe ukiona wanakuzingua temana nao mwisho wa mwezi unatega mikono kupokea mshahara wako
 
namkumbuka ticha wangu s/m minaz huko bk, alikuwa akiuliza tena kwa kutaja jina j umeelewa nkiitikia, anaenda kusain wanafunz wameelewa wote, yeye hata ka darasa lina wanafunz 7 anakwambia darasa limetimia
 
Huyu angekuwa mwanangu, huyu mwalimu angekuwa anakimbia kivuli chake iwe cha jua au cha mbalamwezi.

Mwalimu huyu anastahili sifa kwakuwa anafahamu fika kwamba huyu mwanafunzi akimaliza shule ya msingi atafit kwenda kwenye mafunzo ya ukomandoo ili kupambana na IS wanaochinja waislam wenzao miskitini kama ilivyotokea huko Mwanza kama kuna mwenye kumfahamu naomba mawasiliano naye nimpe zawadi watoto wengi siku hizi ni goigoi kwa ajili ya chips mayai na hawakimbii hata mchakamchaka kwa mimi binafsi nitasikitika sana kama atafukuzwa kazi au kuadhibiwa kwa lolote
 
In government schools teachers have almost complete power over students. Students are treated sooo baaad, it's disappointing.
 
Back
Top Bottom