Je hii ni kunga dhidi ya virus wa compuuter?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,206
Naomba kujua ikiwa kama nitaweka flash disk au kuunganisha simu kwenye computer, je mafaili yasiyofunguliwa yatakuwa salama dhidi ya virusi? Kama ndio au hapana, ni kwa nini?
Naomba kuwakilisha.
AMANI IWE NASI...
 
hapana, kwa sababu virus uwa wanaingia kwenye kila drive watakayoweza kuingia bila kujali mafaili yamefunguliwa au lah, computer tu inapodetect flash tayari virus nao wanaanza kuingia, njia nzuri ni kudisable autorun na pia kutumia antivirus
 
Naomba kujua ikiwa kama nitaweka flash disk au kuunganisha simu kwenye computer, je mafaili yasiyofunguliwa yatakuwa salama dhidi ya virusi? Kama ndio au hapana, ni kwa nini?
Naomba kuwakilisha.
AMANI IWE NASI...

Virus ni computer programs iliyo na instruction ya kufanya specified task.
Swali lako kitaalam lina majibu ya ndio na hapana cause inategemea virus code unayokutana nayo imetengenezwa kufanya nini

Zipo zinazotengenezwa kutafuta na kuvuruga files with specified extensions regardless zimefunguliwa au la

Na zipo ambazo zinavuruga files pale tu ambapo uta load hiyo file kwenye memory
 
Back
Top Bottom