Je hii ni kansa ya ubongo?ni nini matibabu yake?

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka kama 20, april 2011, ghafra siku moja usiku akiwa amelala usingizi alikuwa kama anaota akawa amekaza mikono na miguu na amengata meno kama mtu mwenye kifafa, siku zikazidi kwenda hiyo hali ikajirudia tena na baadae hiyo hali ikawa inamtokea mchana akawa anaanguka kama mtu mwenye kifafa baada ya kwenda hospital akapewa dawa flani zilizokuwa zinamfanya awe analala sana na baadae alipomaliza hizo dawa hiyo hali ya kuanguka ikaacha lakini sasa huu mwezi wa 12,2011 alikuwa amelala mchana hiyo hali ikatokea na baada ya hapo akatoka nje akiwa hajitambui,, baada ya wiki mbili hiyo hali imerudia tena
 
huenda akawa na celebral malaria. but hebu ngoja wataalam watafika.
mkuu pia maombi yanasaidia huenda akawa anapepo mchafu.
 
Back
Top Bottom