Je hii ni bahati au utapeli?

nenda kwenye gazet la kiu wana kitu kinaitwa luv calculator.chukua jina lako na la huyo mdada then watumie utapata jb sahihi.
 
kwani na wewe una imani hizo za huyo mdada? asije akawa anakuchezea akili tu
 
Jaluo hapa kwenye red ndio panatupa wasiwasi,yani siku ya kwanza tu na mzinga jamani?Kuwa makini mazee
Salaam wana JF.

Siku kadhaa zilizopita nilitangaza hapa JF kwamba natafuta mchumba. Siku moja nikiwa kwenye gari nilipokea simu ya dada mmoja nisiyemfahamu na wala hakutumia namba za simu nilizoziweka hapa. Akasema yeye ana shida anatafuta mchumba na alikwenda kwa mchungaji wa kanisa lao akamuombea na kuahidiwa atapata mchumba kwa njia ya mawasiliano ya simu, sasa katika kubonyeza bonyeza simu yake mara akajikuta ameandika namba zangu.

Kinachonishangaza kwa huyu binti haraka aliyonayo, hatuwahi hata kuonana lakini tayari anasema ananipenda sana, kuniomba nimtumie vocha na kutaka tuonane bila hata kunipa muda wa kujadili kile anachokisema. Sasa wana JF mnanishaurije, hii inaweza kuwa ni bahati na kwamba maombi yangu yamejibiwa au ni mbinu mpya za kiutapeli zimeingia hapa jijini?
 
Jamani tatizo sio kutuma vocha, tatizo ni speed anayokuja nayo ndio inanitisha na kunipa wasiwasi. Hataka hata tuchat zaidi tufahamiane, yeye anachotaka ni nimwambie naishi wapi anifuate. Ingawa hatuishi mbali mbali sana lakini nahofia kumwambia mapema mapema waweza kukutana hata na jini.

Nawewe mwambie unampenda sana na kila siku uwe unamwambia akutumie vocha na yeye.
 
Salaam wana JF.

Siku kadhaa zilizopita nilitangaza hapa JF kwamba natafuta mchumba. Siku moja nikiwa kwenye gari nilipokea simu ya dada mmoja nisiyemfahamu na wala hakutumia namba za simu nilizoziweka hapa. Akasema yeye ana shida anatafuta mchumba na alikwenda kwa mchungaji wa kanisa lao akamuombea na kuahidiwa atapata mchumba kwa njia ya mawasiliano ya simu, sasa katika kubonyeza bonyeza simu yake mara akajikuta ameandika namba zangu.

Kinachonishangaza kwa huyu binti haraka aliyonayo, hatuwahi hata kuonana lakini tayari anasema ananipenda sana, kuniomba nimtumie vocha na kutaka tuonane bila hata kunipa muda wa kujadili kile anachokisema. Sasa wana JF mnanishaurije, hii inaweza kuwa ni bahati na kwamba maombi yangu yamejibiwa au ni mbinu mpya za kiutapeli zimeingia hapa jijini?
mkuu huyo si tapeli, hilo ni jambazi , ripoti polisi haraka iwezekanavyo
 
Akika shetani amejibu maombi yako..... Huyo mdada ni mtu ambaye anakufahamu vizuri sana, na anatumia nafasi hii kujinufaisha.... Duh! hivi wachumba wamekuwa hadimu kiasi hiki? hadi inafikia watu mnapandika matangazo ?
 
Mhh! inawezekana kweli ananifahamu ameamua kutumia mbinu ili kunitapeli. Hapo kwenye red wamekuwa adimu sana mzee kama wewe ulifanikiwa kirahisi basi mshukuru muumba wako.
 
Mkuu hiyo ni game tu kipindi hicho tuliifanya sana hiyo kitu,hapo inakuwaje kama tumejuwa mshikaji anatafuta demu au sio na najuwa number yako tunatafuta demu alafu anakucall anakuambia kila kitu anakupenda na vitu vingi tu then tunamwambia akuombe vocha na ile vocha ikipatikana inakuwa inagawiwa nusu kwa nusu so mkuu hapo ndio hiko game walilocheza washikaji zako wa karibu...wamemtuma huyo demu kwako ukituma hizo vocha wanagawana....so usitume kabisa......
 
Wachumba wapo wengi tu mkuu sema inabidi kujichanganya pia na viwanja kama maclub,sehemu za beach na sehemu za madent wakifanya kama part au club so inabidi ufanye hivyo na usione aibu eti anaweza kunitukana mbele za watu hiyo kitu usifikirie maana mwanaume kaumbika mateso...kama umemuona mtoto sehemu yoyote mvute pembeni mwaka mistari wa usione aibu jaribu hivyo na utafanikiwa tu kamanda...na wala usifirie kwamba sijui atanikataa....kukataliwa ni kitu cha kawaida tu so wala usione kwamba umejaribu umekataliwa basi hufai no unafaa sana keep trying wala usikate tamaa kabisa...utawapata tu mbona wapo wengi sana....yangu ni hayo tu mkuu.....
 
Kumbe ehh?
 
Asante kwa ushauri mkuu, ila tatizo sio kuwatokea mabinti wala siogopi kukataliwa. Unajua sio kila mwanamke ana sifa za kuwa mke mwema vile vile sio kila mwanaume ana sifa za kuwa mume bora hapo ndio penye tatizo ndio maana nakiri kupata mchumba wa ukweli kwa upande wangu naona sio rahisi kivile. Inahitaji jitihada za ziada na mwongozo wa Mungu, unaweza kuwa na wapenzi kibao lakini hakuna hata mmoja anayefaa kupandishwa cheo na kuwa mchumba. Nadhani umenipata?
 
Hahahahahahahah
kuna raha sana Jf
Alijuaje na we ni single na unatafuta?

ANGALIA USIJE OA JINI Mpenzi..
 
Asante kwa ushauri mkuu, ila tatizo sio kuwatokea mabinti wala siogopi kukataliwa. Unajua sio kila mwanamke ana sifa za kuwa mke mwema vile vile sio kila mwanaume ana sifa za kuwa mume bora hapo ndio penye tatizo ndio maana nakiri kupata mchumba wa ukweli kwa upande wangu naona sio rahisi kivile. Inahitaji jitihada za ziada na mwongozo wa Mungu, unaweza kuwa na wapenzi kibao lakini hakuna hata mmoja anayefaa kupandishwa cheo na kuwa mchumba. Nadhani umenipata?

Aminia mkuu wala hamna tatiozo na ni kweli kuwapata inakuwa ngumu sana wenye tabia nzuri...
 
huyo dada atakuwa anafanya biashara.
kimbia mwaya,huyo dada atakuwa amejua labda kupitia rafiki zako hio namba yako amekulia timing tu na probably anajua kupitia hao hao marafiki zako kama uko single na unatafuta mtu,yeye bila haya anataka kutake advantage kuwa uko desperate........hajafunuliwa lolote aache uongo!
anywayz wewe ni mwanaume,unaweza ku hang naye ila kwa akili sana manake huyu amekaa kichunaji chunaji sana hio ya kuomba vocha hata mtu hujamzoea/humjui inaelekea huyu dada anawinda!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom