Je hii inakuhusu???kama sio muarifu mwenzio anaehusika

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Mpendwa mmoja ameonyeshwa jioni ya leo kuna mtu analipwa mshaara wa sh mil 1.5
shetan anataka kumwondoa kazini kwake.....
soln
kuna secretary wa bosi umezoeana nae kuwa na makini achana nae kabsa huyo
ndio anaenda kushuhudia ama kuchagia kukutoa kazini.....bosi amekusubiri muda mwingi
ameamua kukuondoa kabisa....kimbia lango la secretary Mungu anakupenda anaitaji
uendelee kula mema ya nchi .....Tubu dhambi zako usiku waleo...amka na YESU akufungue
akuepushe na hili Lango;Kazi hii ndani ya siku saba wiki hii omba sana rehema za Mungu atakurehemu

Usiku mwema kama ni wewe uwe na amani fata principle apo juu Mungu anakwenda kupigana na Bosi wako kuhusu kukuondoa

Ulakucha
 
Back
Top Bottom