Je haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania?

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
Tusidanganyike na watu wachache wanaoishi vizuri mijini tukadhani hayo ndio maisha ya mtanzania halisi, Hizi picha zinaonyesha umaskini halisi wa mtanzania. Umaskini ambao Rais na PhD zake za kupewa bado anashindwa kujibu kwanini Tanzania ni maskini?
Je haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania?
View attachment 20416View attachment 20417View attachment 20418View attachment 20419View attachment 20420View attachment 20423View attachment 20422
pencil.png
View attachment 20424View attachment 20421
 
Huyo ndiye kiwete. Kenye picaha kuna jamaa kajilaza jirani na kibao cha CCM - wala hana habari kuwa mabaya yote yanatokea hapa nchini ni sababu ya uongozi mbovu wa ccm
 
Back
Top Bottom